Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Ubalozi wa #Kenya nchini #DRC umelaani vikali 'kauli za dharau na kejeli' alizotoa Naibu Rais Williams Ruto kuhusu taifa la DRC.
Baadhi ya raia wa DRC wameanza kususia bidhaa za Wakenya walioko jjjini Kinshasa.
Naibu Rais William Ruto aliikejeli DRC kwa kusema taifa hilo ni maskini na halina hata ng'ombe mmoja. Aidha Ruto aliongeza kuwa wanachojua kufanya ni kuimba midundo ya Rhumba tu.