DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

Kwani Congo wana ng'ombe??
Na wao wangewaambia wakenya ni maskini hawana sokwe au migodi au Makundi yenye silaha ya kusimamiwa Amani na UN.
Mbona simple Tu, halafu eti tunaitana marafiki East African Community😆😁
 
kuna ngoma ameitwa na ndanda kossovo Nyoshi el sadat sauti ya simba😅 afu kakaimba kwa sauti ndogo
😂😂 Eti sauti ya simba akaimba kwa sauti ndogo.
Jamaa yangu flani ni muwest afrika, aliniambia afadhali ya wacongo, wao wakija hapa ni mziki na kulelewa na majimama sio matapeli kama wao wawest, ndio maana hata serikali haina shida nao sana wanaishi kama wakk kwao.
 
wa west si ndio wanaija hao ? leo nimeona picha wamedakwa saudia wamepaka make up na kuvaa hijab inaonekana walitaka kufanya utapeli,wacongo wana enjoy hapa mimi natamani kuishi kinshasa
 
Ubalozi wa #Kenya nchini #DRC umelaani vikali 'kauli za dharau na kejeli' alizotoa Naibu Rais Williams Ruto kuhusu taifa la DRC.

Baadhi ya raia wa DRC wameanza kususia bidhaa za Wakenya walioko jjjini Kinshasa.

Naibu Rais William Ruto aliikejeli DRC kwa kusema taifa hilo ni maskini na halina hata ng'ombe mmoja. Aidha Ruto aliongeza kuwa wanachojua kufanya ni kuimba midundo ya Rhumba tu.View attachment 2121160

View attachment 2121144

Hakuna watu wenye majivuno na dharau kama Kenyans. That is what characterises tribalisms.
 
Ruto ni tatizo sasa DRC hawana Ng'ombe hata mmoja?
 
wa west si ndio wanaija hao ? leo nimeona picha wamedakwa saudia wamepaka make up na kuvaa hijab inaonekana walitaka kufanya utapeli,wacongo wana enjoy hapa mimi natamani kuishi kinshasa
Ule raha kama. Fally Pupa. Yes wanaija, wacameroon. Wale hatari wezi wezi wengi wao.
Kwa saudia watapata cha moto
 
1645039727131.png
 
Ule raha kama. Fally Pupa. Yes wanaija, wacameroon. Wale hatari wezi wezi wengi wao.
Kwa saudia watapata cha moto
kina fally wana enjoy sana kinshasa pale,hii ni dream kubwa sana,mimi ningekuwa Dar ningekuwa nahudhuria sana show za kina nyoshi
 
Back
Top Bottom