Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uwongo huo
Ova
Sio ng'ombe wa mapembe mzee tuliza akiliSo kwa akili yako congo hakuna ng'ombe
Wamebakia kukata mauno tuRuto hajakosea wacongo hawajielewi kama watanzania tusivijielewa
Bongo serikali napo kipaumbele #1 ni wasanii bongo fleva bongo movieRuto hajakosea wacongo hawajielewi kama watanzania tusivijielewa
Nimekusoma ilitakiwa aweke ufafanuziSio ng'ombe wa mapembe mzee tuliza akili
kwenye suala la ardhi yenye rutuba napingana vikali wewe ...sehemu kubwa ya ardhi DRC haina rutuba ya kustawisha mazao usione misitu minene ukadhani na mazao yanastawi kama hiyo misitu kwa hiyo Wacongo watoe kwenye kilimoKwa mali iliyopo kuanzia Goma, maniema, kisangani, lubumbashi, bukavu, butembo, beni na congo yote wanadhahabu yakumwaga wanaita Oral na wana almasi ya kumwaga wanaita diama, wana ardhi yenye rutuba sana, wana mito mikubwa maji safi, misitu minene lakini wanakufa na njaa hawana chakula kila kitu wana import hadi nyama ya ng’ombe wanaimport
Watalima saa ngapi muda wote wote ni 💣💥, wanaishi Ka digidigi, wanakoishi Kwa starehe na amani ni mjini Tu, huko ambako wangeanzishia mashamba ndiko war lord's wa kina Slim na M7 wanakonyang'anyana utajiri!Kwa mali iliyopo kuanzia Goma, maniema, kisangani, lubumbashi, bukavu, butembo, beni na congo yote wanadhahabu yakumwaga wanaita Oral na wana almasi ya kumwaga wanaita diama, wana ardhi yenye rutuba sana, wana mito mikubwa maji safi, misitu minene lakini wanakufa na njaa hawana chakula kila kitu wana import hadi nyama ya ng’ombe wanaimport
Kuna wasukuma kibao kule wanafuga ng'ombe naona Rutto anajichimbia kaburiSo kwa akili yako congo hakuna ng'ombe
Ruto afai kwa Kenya sio matured ni primitives,ndo maana Kenyatta kaona bora amsapoti odingaKuna wasukuma kibao kule wanafuga ng'ombe naona Rutto anajichimbia kaburi
Mkuu ukweli umepingwa na aliyetoa ukweli, ameufyata na kwa kuonesha alikosea kuongea vile ameamua kutoa raia wake kwenda kupambana kwa aliowaita masikini.Sijui kwa nini watu hawapendi kusikia ukweli? Kosa hapo ni nini!