๐๐Dah shamkwale wamemaindiUbalozi wa #Kenya nchini #DRC umelaani vikali 'kauli za dharau na kejeli' alizotoa Naibu Rais Williams Ruto kuhusu taifa la DRC.
Baadhi ya raia wa DRC wameanza kususia bidhaa za Wakenya walioko jjjini Kinshasa.
Naibu Rais William Ruto aliikejeli DRC kwa kusema taifa hilo ni maskini na halina hata ng'ombe mmoja. Aidha Ruto aliongeza kuwa wanachojua kufanya ni kuimba midundo ya Rhumba tu.
View attachment 2121144
So kwa akili yako congo hakuna ng'ombeSijui kwa nini watu hawapendi kusikia ukweli? Kosa hapo ni nini!
Nanyi mkiambiwa ukweli mnachukiaSijui kwa nini watu hawapendi kusikia ukweli? Kosa hapo ni nini!
njo vile hatukubali mu matusi enye mmetupala๐, ila wacongo bana unajua hata vita huwa hawawezi ? wakati wa shaba 1&2 walipovamiwa wanajeshi walijiumiza ili kukwepa kwenda front line, na wakati wa vita 1996-1997 nchi ilivamiwa ila wanajeshi wakawa wanakimbia wanawapa raia bunduki wapambane wao๐๐Dah shamkwale wamemaindi
mcongo hana muda wa kufuga,aache kuvaa vizuri akakimbizane na ma Ng'ombe!!!Kwani uwongo huo
Ova
๐๐๐ Jicho la kenge mu maji. Hawataki shida we weka rhumba tucheze. Nyoshi naye lazima atoe kauli juu ya hilinjo vile hatukubali mu matusi enye mmetupala๐, ila wacongo bana unajua hata vita huwa hawawezi ? wakati wa shaba 1&2 walipovamiwa wanajeshi walijiumiza ili kukwepa kwenda front line, na wakati wa vita 1996-1997 nchi ilivamiwa ila wanajeshi wakawa wanakimbia wanawapa raia bunduki wapambane wao
๐Nyoshi bana,anadai huwa anajifungia ndani mwezi mzima akitoka ni mweupeeee!!!!๐๐๐ Jicho la kenge mu maji. Hawataki shida we weka rhumba tucheze. Nyoshi naye lazima atoe kauli juu ya hili
Wote wanaweza kulaani maana hio kauli haijatolewa na serikali ya Kenya bali imetolewa na Kiongozi mmoja tena kwenye kampeni huko,kwahio inaweza kuchafua mahusiano ya Kenya na Kongo ndio maana Kenya wameilaani lakini tayari Wacongo walishachukia.Waliotakiwa kulaani hiyo kauli ni wakenya au wakongo? tuwekane sawa hapo pili nchi maskini raia wake hawana ubavu wa kususia bidhaa, uliona wapi ombaomba unasusia msosi??
You guys should be serious.....njo vile hatukubali mu matusi enye mmetupala๐, ila wacongo bana unajua hata vita huwa hawawezi ? wakati wa shaba 1&2 walipovamiwa wanajeshi walijiumiza ili kukwepa kwenda front line, na wakati wa vita 1996-1997 nchi ilivamiwa ila wanajeshi wakawa wanakimbia wanawapa raia bunduki wapambane wao
Hiyo filter ni kwa kenya tu !?Sawa ni kweli Congo masikini ila kwanini mgombea wa Urais uzungumzie hilo suala katika namna ya kuwakejeli? Kiongozi lazima uwe na filter huwezi kuongea tu kila linalokujia mdomoni.