Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,932
Reaction score
4,403
Nahisi sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya habari zinazotalawa za ubadilifu wake.

Nimesikia jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4 tokana na ubadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..

NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.



=====
MODERATOR:

Taarifa hii si ya kweli
 

Source Please!
 
Tunaomba chanzo cha habari tupitie!
 
Kazi inaendelea waliobaki ndio wengi kuliko waliotumbuliwa. Wakurugenzi wote ambao katika halmashauri zao kulikuwa na watanyakazi hewa nao watatumbuliwa soooon.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Zile push up za Magufuli watu hawakuzielewa, sasa kimeanza kueleweka!
Hapa Kazi Tu!!
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa

Hizo ngoma zina kinga ya maisha ya kikatiba ya kutoshtakiwa wala kuhojiwa popote na yeyote ndani ya Jamhuri. La muhimu kwa sasa Rais apambane na mafisadi kwa nguvu zote regardless yeye alifanya nini enzi hizo.
 
Nasubir wapinzan waje waendelee kusema kwamba mafisad yanayotumbuliwa ni vipele...nasubir na Dr dau aitwe kipele/kidagaa tu kwenye ufisadi
Tunataka kuona Ana hukumiwa miaka ya kutosha akibainika!na wasipewe mwanya wa kutoa dhamana maana mtu kama dau unaweza kutoa hata bio 10 ya dhamana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…