Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

Chanjo ya Astra Zeneca aliyopendekeza mwenyekiti wetu Mbowe ije haraka sana. Corona Tanzania ipo inaua maelfu kwa maelfu... Mwenda zake alikua muongo, sie tunamuamini mwenyekiti wetu Mbowe tu

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 

 
Magufuli did all this with ignorance and arrogance. It is natural for Africans to guess rather than to rationalize. His guess was no doubt a stupid one. He forced the nation into what he was not sure of, it's a matter of luck that we're alive today! Anyway if Magufuli's decision was well informed, he would have died a hero, but remains an arrogant leader who dared to spend the lives of a entire nation on account of stupid guesses.
 
Ndiyo maana wanajeshi wanakufa kila siku ili wewe upone
 
Dah Tanzania tumepoteza Rais tumebaki na kiongozi tu anaeongoza awamu ya sita lakini kwa akili na mawazo ya awamu ya 4 😢😢😢
TOBAAA! we habu punguza makali ya maneno!
 
Hayati MAGUFULI atabaki mioyoni mwetu kama kiongozi MWENYE MAONO NA UTHUBUTU MKUU.....

*******************
Angeweka lockdowns,leo hii TAMISEMI isingetoa nafasi za KUAJIRI WALIMU 90,000 na KADA YA AFYA.......

Walimu watakaopata AJIRA wasilisahau hilo......

May the life of the late JPM be a blessing amen🙏

#KaziIendelee
 
Kwani vifo
Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Kwani vifo vinajificha?
Nenda india uone kama utaficha kifo
Watu wanapangwa kama samaki kwenye chanja.
 
Nothing comes by luck but through grace & plans of God, what he did was intended and through it millions were saved! You should use that energy to criticize other leaders who exercised lockdown and still failed rather than criticising someone whose action saved a nation.
 
Kuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.

Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.

Mlokole gani au wa wapi huyo? Ni muhuni kama wengine tu
 
He is a hero to all sane human beings. He will remain a hero to people who value brave leaders. He was always able to defend what he thought was right to his nation.

He was not a coward that is why a learned white man kind of eulogize about his life even though two months have gone after his passing on.

He was not guessing, he knew science broadly not as a lay man like me and you. He knew that vaccines may not provide a lasting solution to this pandemic as it is globally preached.

He knew that corona will be here to stay.
 
Ila kuchapa watu lockdown na kuimpose night-time curfews huku ukiwa hufanyi research yoyote na unatulia tuli huku ukimsubiri mzungu akupe mbinu nyingine isingekuwa njia sahihi sana ya kudeal na COVID19 kwa context ya Tanzania na nchi nyingi za Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…