Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

sasa mbona watu hawajifukizi tena?
 
Hujui anakosa gani? Aliaminisha watu kuwa hakuna corona TZ kwa kuwa tuliomba siku tatu.
Duniani tunaaminishana vitu vingi ukiamua kuamini jambo hiyo ni juu yako maana ni suala la imani, mimi siamini kwenye maombi ya kuondoa corona ila sivai barakoa wala nini na nipo mzima na kuna watu walijikinga na corona kama kuvaa barakoa ila tunasikia wamekufa na corona.

Sasa sijui unamlaumu vp mtu mwengine katika jambo kama hili?
 
Issue hapa ni tradeoff, kwamba umepoteza wangapi na umeokoa wangapi.

Sasa kama takwimu za waliopotea hazipo, huwezi jua labda corona ilitambaa na wengi zaidi ya walio okolewa.

Waulize wataalam wa Afya wakuambie mortality trend for 5 yrs, halafu uone kama miaka hii ya korona kama vifo vilikuwa vingi zaidi.
 
UHURU JR panua uelewa wako kwa ugonjwa huo.Huo ndio ushauri wangu kwako.
 
Matter of fact, statistics zilifichwa.

Chukua stats za vifo Tanzania kwa miaka mitano, then fanya analysis miaka gani grafu ilipanda sana. Ndiyo uje kusema korona iliua au la. Vinginevyo utakuwa unaamini uongo tu.
 
Chukua stats za vifo Tanzania kwa miaka mitano, then fanya analysis miaka gani grafu ilipanda sana. Ndiyo uje kusema korona iliua au la. Vinginevyo utakuwa unaamini uongo tu.

Sasa nitachukua statistics wapi wakati zilifichwa?

Labda unishauri wewe, za kipindi cha corona nazipataje?
 
Sasa nitachukua statistics wapi wakati zilifichwa?

Labda unishauri wewe, za kipindi cha corona nazipataje?
Wewe walikufa ndugu zako wangapi kwa Corona?
 
UHURU JR panua uelewa wako kwa ugonjwa huo.Huo ndio ushauri wangu kwako.
Sawa mkuu ila mimi huwa napenda kuyatizama mambo katika uhalisia hata kama kutanifanya nishindwe kuelewa ni bora kuliko kuridhika na uelewa wa jambo ambalo linapingana na uhalisia.
 
Sawa mkuu ila mimi huwa napenda kuyatizama mambo katika uhalisia hata kama kutanifanya nishindwe kuelewa ni bora kuliko kuridhika na uelewa wa jambo ambalo linapingana na uhalisia.
Uhalisia upi?
 
mwenye ubishi ajiue
 
Kuna tetesi zinasemwa kuhusu hizi chanjo kuingiliana na matumizi ya internet kwa mtu aliyechanjwa vp zina ukweli wadau?
Mtakoma ngoja wawapandikizie na genes za ushoga maana mmezidi kuzaana loh😜!
 
Kwani wahanga wa gonjwa hili wakiwamo ndugu zao kama matokeo ya moja kwa moja ya sera za mwendazake wanasema je?
 
Sasa nitachukua statistics wapi wakati zilifichwa?

Labda unishauri wewe, za kipindi cha corona nazipataje?

Sikiliza bwana mdogo, unless kama hukusoma elementary statistics. Tafuta stats za vifo jumla kwa miaka 5, waweza anzia 2016 mpaka 2020, halafu angalia ni mwaka gani wenye vifo vingi (au grafu ya vifo ilipanda). Kutokahapo ndiyo utajua kama uviko - 19 iliua watu wengi, au kuaminishana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…