Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

Kwahiyo kulipua makanisa ni halali? Hiyo picha nimeweka hapo huoni kanisa limelipuliwa?
Uache Propaganda za kijinga kwanza inakuwaje bomu linapigwa Jengo linabomoka ila Msalaba ukabaki? Au ndiyo ule msemo Shoka likaungua mpini ukabaki mnautumia?

Ni kitu hakiwezekani Soksi ikachomoka na kiatu kikabaki

Danganyaneni tu huko misikitini kwenu maana mlishaamua kujitoa ufahamu!!.

Pili Kanisa,Msikiti ,Hospitali na shule vikitumika na Magaidi no halali vivunjwe maana ni sehemu ya magaidi!!
 
Ni jihadist? Mbona mlimpa silaha na pesa hadi akapata urais? Kwahiyo Israel na US inafadhili jihadists?

Bora umekiri leo
Kwa nini waweke Buffer Zones kama ni kibaraka wao?

Lebanon nako IDF wameweka Buffer zones kwa akili yako Matope Hezbollah ni vibaraka wa Israel? Acha ujinga wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…