Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Ni Propaganda tu za Waarabu/Waislamu wanaeneza uongo huo!!Israel inaua wakristo kila siku huko westbank na Lebanon huku inalipua makanisa kabisa je una maoni gani?
Pia Israel na USA ndio imeanzisha na kufadhili hivyo vikundi vya kigaidi alafu nyie mnaaminishwa ni "waislam" ndio magaidi.
Kajifunze kuhusu operation cyclone ambapo USA ilimwaga mabilioni kuanzisha na kufadhili makundi ya kigaidi ikiwemo Al qaeda, Taleban na ISIS.
Hakuna wakristo wanaouliwa huko Gaza wala West-Bank kwa sababu tu ni wakristo!!
Wanaosema Makanisa yanayovunjwa huko bila sababu ni waongo!!!!
Nyumba za ibada shule na Hospitali zilizovunjwa huko ni zile zilikuwa zinatumika kigaidi zina miundombinu ya kigaidi zinaficha magaidi na kutumika kushambulia askari wa Israel tu!!
Na nyumba zilizofanya hivyo basi zilikosa hadhi ya kuitwa nyumba za Ibada,Shule au Hospitali hivyo ilikuwa halali zibomolewa!!