zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Michigan ina wapiga kura waislam laki 3 pekee katika jimbo lenye wapiga kura Million 7.3 maana yake waislam ni 4% pekee. Kwahiyo umepotoshaObama wakat wa utawala wake aliingiza waislam mamilion USA hao ndio hao wanaopigia kura Kuna mamdan, ilihan msomali, na uyo Sayed
Obama ndio alharibu USA kuimport moslim
Vilaza hawa, wana ulokole mavi sana hata kwenye general politics.Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
Hilo pumbavu hata usipoteze muda wako kulijibu,Michigan ina wapiga kura waislam laki 3 pekee katika jimbo lenye wapiga kura Million 7.3 maana yake waislam ni 4% pekee. Kwahiyo umepotosha
Wewe mlokole mavi nyoosha maelezoNa hii ndio faida ya nchi za kidemokrasia, huwezi kukuta ushenzi kama wa nchi zinazoongozwa kwa udicteta, sharia za kihuni za kiislamu za kibaguzi na uhuni dhidi ya utu.
Wazungu wanamengi maovu lakini hatuwezi kuwafananisha na haya majinga ya Asia+Afrika ambako mnawatendea mabaya wageni na raia wazawa wenzenu, alafu mkienda ktk nchi za watu mnataka kutendewa mema huku mkiforce nchi zao zitambue ujima wa maisha ya nchi zenu.
Hiyo ndio demokrasia, sio matumizi ya nguvu bali akili,
Endelea kuchamba umbea kanji maana huna lakufanyaObama wakat wa utawala wake aliingiza waislam mamilion USA hao ndio hao wanaopigia kura Kuna mamdan, ilihan msomali, na uyo Sayed
Obama ndio alharibu USA kuimport moslim
Obama alikua hana akili ila kwenye hilo alikua na akiliWapiga kura waarabu waislam wamejazana Jimbo la Michigan waliingizwa na Obama
Tunawaona walivyopendeza maa sha AllahOna wapiga kura
Kabisa Gen z wamezidi kuyajua maovu na mauaji ya wazayuniMwaka huu AIPAC inazidi kuumbuka sana, inamwaga mabilioni ila wagombea wake wakikutana na pro-palestine wanapigwa chini. Hii ni wake up call kubwa kwa wazayuni kama walizoea rushwa kuwapa uhai wa kisiasa basi muda huo umeshapita Gen Z ni kizazi tofauti kabisa.
huwezi sikia nchi ya Kiislamimemchangua kiongozi Mkristo,Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea Marekani ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea pro-palestine wakishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi na pro-israel licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa raia wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Mbona kama umepanic sana mzee taratibu unatutemea mateNa hii ndio faida ya nchi za kidemokrasia, huwezi kukuta ushenzi kama wa nchi zinazoongozwa kwa udicteta, sharia za kihuni za kiislamu za kibaguzi na uhuni dhidi ya utu.
Wazungu wanamengi maovu lakini hatuwezi kuwafananisha na haya majinga ya Asia+Afrika ambako mnawatendea mabaya wageni na raia wazawa wenzenu, alafu mkienda ktk nchi za watu mnataka kutendewa mema huku mkiforce nchi zao zitambue ujima wa maisha ya nchi zenu.
Hiyo ndio demokrasia, sio matumizi ya nguvu bali akili,
Ushasema nchi ya kiislam sasa kiongozi wa kikristo akafanye nini kwenye uongozi wa nchi hiohuwezi sikia nchi ya Kiislamimemchangua kiongozi Mkristo,
bora hao wanaotemea mate kuliko mashetani magaidi yanao ua WakristoJuzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
Hatashinda uchaguzi mkuu. Pamoja na kwamba jimbo lilikua chini ya Democrats lakini uchaguzi mkuu November hawafurukuti. Jimbo kama Winsconsin, michigan yanahitaji moderates. Progresive waende New York huko na CarlifoniaJana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea Marekani ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea pro-palestine wakishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi na pro-israel licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa raia wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Juzi tu nilikuwekea video za waafrika wakifurahia maisha huko Israel!!Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.