Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
Waangalie waafrika wakiwa Israel achana na video za Arabs/Muslims Propaganda!!!
 

Attachments

  • 8e3a6b6e2344dbc208276270ae13de91.mp4
    13.2 MB
  • fede12413d839345713d8cc4213bdc63.mp4
    2.3 MB
  • #zambiantiktok🇿🇲_#israel🇮🇱_#agriculture_#student_#viral_#bikureysade_#diasporatiktok_.mp4
    12.1 MB
  • Black_people_in_Israel_🇮🇱_for_those_who_say_Israel_hate_black_people._#israel_#israeli_#octobe...mp4
    1.5 MB
  • #southafricaisrael_#southafricatiktok🇿🇦_#israel_#southafrica_#jerusalema_.mp4
    4.4 MB
  • Nigerians_are_living_in_Israel_because_extreme_Muslim_jihadist_are_causing_terror._This_is_the...mp4
    16.2 MB
  • The_media_has_been_lying_about_Israel_🇮🇱_COME_SEE_THE_TRUTH,_with_your_OWN_eyes!!!_🇨🇩_❤️_🇮🇱_.mp4
    12.7 MB
  • We_are_back_❤️_🇮🇱_.mp4
    18.5 MB
Changamoto wanayoipata American Jews etc ni kwamba sasa hivi hata wao wenyewe wamegawanyika Sana sasa hivi, sasa kuna makundi mengi ya vijana wamejichomoa kwenye kusapoti Kila kitu kuhusu Israel....But still Wana ushawishi Sana Kwa high level profile.
 
Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.

Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423

Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.

Trend hii imeendelea Marekani ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea pro-palestine wakishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi na pro-israel licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.

Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa raia wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Kampeni ya Abdul El-Sayed inaripotiwa kupokea zaidi ya $115,000 kutoka kwa maafisa kadhaa wa sasa na wa zamani wa CAIR. Lakini sisi yetu macho!!!

Wapiga kura wanastahili kujua ni nani anayewafadhili wagombea wanaoomba kura zao.
 

Attachments

  • IMG_5708.jpeg
    IMG_5708.jpeg
    121.8 KB · Views: 7
Juzi tu nilikuwekea video za waafrika wakifurahia maisha huko Israel!!

Tatizo lenu mnazuzuka na video za propaganda za waarabu dhidi ya wayahudi!! Ukweli Israel ni sehemu salama kwa Waafrika na Wakristo kuliko nchi za kiarabu!!!
Sasa mbona wewe mzayuni wa jf unakomaa hapo tandale maguniani huendi kule
Nenda kwa wateule wakakuteuwe na wewe
 
Kampeni ya Abdul El-Sayed inaripotiwa kupokea zaidi ya $115,000 kutoka kwa maafisa kadhaa wa sasa na wa zamani wa CAIR. Lakini sisi yetu macho!!!

Wapiga kura wanastahili kujua ni nani anayewafadhili wagombea wanaoomba kura zao.
Propaganda za kitoto hizo, hao waisrael wanaofadhili hadi Al Qaeda ya Syria hawaitwi magaidi ilihali ndio hao hao wanafadhili wagombea wa pro-israel huko marekani.
 
Zanzibar Ina Waislamu 99.

Ulivyo mjinga Zanzibar Ina waislamu 99.% na Wakristo ni 1 au 2% Je ni nchi ya kiislamu?
Kwani marekani ni nchi ya kikristo? Tunaposema nchi ya kikristo au kiislam hatuongelei katiba ila maana yake Raia wa dini husika wakiwa zaidi ya 70% ndio tunaita hivyo.

Ila ukitaka nchi ya kikristo basi utakuta ni Vatican pekee!!
 
Kwani marekani ni nchi ya kikristo? Tunaposema nchi ya kikristo au kiislam hatuongelei katiba ila maana yake Raia wa dini husika wakiwa zaidi ya 70% ndio tunaita hivyo.

Ila ukitaka nchi ya kikristo basi utakuta ni Vatican pekee!!
Acha ujinga nchi ya kiislamu ni Kama vile Iran na zingine siyo Misri Kama ulivyodanganya!!
 
bora hao wanaotemea mate kuliko mashetani magaidi yanao ua Wakristo
Israel inaua wakristo kila siku huko westbank na Lebanon huku inalipua makanisa kabisa je una maoni gani?

Pia Israel na USA ndio imeanzisha na kufadhili hivyo vikundi vya kigaidi alafu nyie mnaaminishwa ni "waislam" ndio magaidi.

Kajifunze kuhusu operation cyclone ambapo USA ilimwaga mabilioni kuanzisha na kufadhili makundi ya kigaidi ikiwemo Al qaeda, Taleban na ISIS.
 
Hatashinda uchaguzi mkuu. Pamoja na kwamba jimbo lilikua chini ya Democrats lakini uchaguzi mkuu November hawafurukuti. Jimbo kama Winsconsin, michigan yanahitaji moderates. Progresive waende New York huko na Carlifonia
Muda utaamua, maan Trump pia amechokwa so El Zayed anatarajia kupata pia kura za hasira za swing voters waliochoka vita za Iran na changamoto zingine za kiuchumi.
 
Acha ujinga nchi ya kiislamu ni Kama vile Iran na zingine siyo Misri Kama ulivyodanganya!!
We hunaga akili, Egypt ni mwanachama wa Organization of Islamic Countries (OIC) tokea 1969.

Ukisema nchi ya kiislamu ni Iran pekee basi leo ndio ujue kwenye bunge lao "Majlis" kuna wabunge wa kiyahudi na kikristo pia.

In fact kuna viti kadhaa vimetengwa rasmi kabisa kwa ajili ya religious minority za Iran hasa wakristo na wayahudi. Hunaga elimu ndio maana huna unalojua kuhusu siasa za kimataifa
 
Israel inaua wakristo kila siku huko westbank na Lebanon huku inalipua makanisa kabisa je una maoni gani?

Pia Israel na USA ndio imeanzisha na kufadhili hivyo vikundi vya kigaidi alafu nyie mnaaminishwa ni "waislam" ndio magaidi.

Kajifunze kuhusu operation cyclone ambapo USA ilimwaga mabilioni kuanzisha na kufadhili makundi ya kigaidi ikiwemo Al qaeda, Taleban na ISIS.
Hilo ndilo kila siku nakataa, Marekani itaanzishaje makundi ya kigaidi yenye waislamu tu!!!???

Huo ni uongo wa wazi kabisa, hayo makundi ya kigaidi yalianzishwa na waislam wenyewe kwa lengo la kupigania jihadi duniani. Huo ndio ukweli.

Waislam hawawezi kukubali kutumiwa na makafiri ili kuchafua dini yao.
 
Watu wanashindwa kuelewa kwamba huyo jamaa ni mmarekani...

Wenzetu hawaongozwi na propaganda kama za huku ukimani...

Wakati wewe unamuona Mollel kijana aliyeuwawa na wapalestina si mwenzako , usifikiri Sayed ana akili hiyo...
 
Back
Top Bottom