johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkazo ni kupambana na CHADEMA.Asante kwa hii, kiukweli elimu kuhusu Corona na jinsi ya kujinginga inahitajika sana!.
P
Ndio hiyo inatolewa sasa bwashee!Elimu watu hawana!!!
Kwani Chadema ni ugonjwa?!Mkazo ni kupambana na CHADEMA.
Ni ugonjwa sugu unaoisumbua CCM na dawa yake mpaka leo wameshindwa kuipata.Kwani Chadema ni ugonjwa?!
Umerudia kile kile alichosema Dr Elly!Kuna mazingira mawili makuu ya kuvaa mask 1. Unapohudumia mgonjwa ambaye unahisi au kathibitishwa ana Corona. 2. Unapokohoa ama kupiga chafya.
Kama Chadema ni ugonjwa basi dawa yake ni " minyetii"......ukinywa unapona fasta!Ni ugonjwa sugu unaoisumbua CCM na dawa yake mpaka leo wameshindwa kuipata.
Mkazo ni kupambana na CHADEMA.
Amina!
Kwa hiyo P.Mayalla na yeye anapambana na Chadema?Mkazo ni kupambana na CHADEMA.
Ila bwashee bado shida ni kubwa sn,kuna sehemu nipo kwenye mishe zangu huku yaani asubuhi hii nakutana na wanafunzi kibao wanaenda shule.Amina!
Bwashee ni wapi huko?......hiyo misitu imenikumbusha upareni.Ila bwashee bado shida ni kubwa sn,kuna sehemu nipo kwenye mishe zangu huku yaani asubuhi hii nakutana na wanafunzi kibao wanaenda shule.
Ina maana hata wazazi wengi hawajui kama kuna zuio la Pm.View attachment 1391598
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wako kundi la pili!Kwahiyo tajiri wa Simba kavua ile mask yake..
Mwana FA naye atakuwa kavua ile yake pia.
[emoji23][emoji23] bwashee habari ya nipo wapi tusiulizane maane nyie sio watu 'wazuri' ila sio kaskazini hiyo.Bwashee ni wapi huko?......hiyo misitu imenikumbusha upareni.