Mara nyingi Guerilla leader baada ya ushindi wale macomrade wake wa karibu sio watakaomrithi. Wengi hugeuka maadui. Wanaobaki, hutumika tu kumwezesha atawale vizuri. Wakitamani madaraka yake nao hugeuka maadui pale pale. Inasikitisha kuwa wanapopigania "uhuru" wa mataifa yao "mashujaa hao", wanaonesha taswira ya upendo, utu wema, wasio na ubinafsi, na mengi mengine yenye mvuto. Wakipata utawala hali hugeuka na wanakuwa tofauti sana. Inasikitisha sana "briliant marxist revolutionaries wa miaka ys 60" , waliokuja kutawala mataifa yao miongoni mwao wamekuwa "political bourgeoisie'" wa miaka ya 80 na 90 na 2000. Wamengangania madarakani, ni matajiri