Dr. Emerson Mnangagwa aliponzwa na waganga wa kienyeji

Kuna watu wanajua kuwadhibiti wapinzani! Huyu babu chiboko! Angalau kidogo Julius Malema bado anafukuta kule chini!
 
Hahaha.. Mugabe sio mtu wa kimchezo mchezo asee ila akifa huyu mzee kutakua na mambo mengi sana juu yake.
 
Umenikumbusha mbali kuna Rais mmoja zilisikika tetesi kadanja wee watu walishangilia mno huyo nae anaelekea humo.
Hivi miaka 90+ bado unang'ng'ania ofisi we mtu wa aina gani sasa?
 
Yani roho inatoka wiki??

Ila inawezekana maana huyo mzee roho yake inaweza kuwa imekomaa sana kiasi kwamba Israel atapata kazi kubwa kuiondoa duniani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ana roho saba kama nyau... Zitazima kwa mfuatano kila siku moja
 
Hakujaaliwa jinsia yake, wote jinsia pinzani
Mungu nae huwa anaangalia mbali.

Hata akimpa mwanae wa kike sio rahisi kustahimili vishindo kwa muda mrefu. Ila ingekuwa ana kidume lazima angempika mmoja na Zimbabwe ingemilikiwa na ukoo wa Mugabe milele
 
Hao wa kike nao wako south wanauza nyama
 
Sio kama wanapenda ila tatizo wanaogopa sera zao za ki socialist au ukomunisti zitapotea sababu watakao fuata obvious watafuata mlengo wa USA capitalism na Sera zao zingine

Ndio jambo Fidel hakuweza kuachia madaraka sababu ya ideology hio ya kiMarxist akihofia ideology yao itapotea

Same Mugabe ana Sera zake za anti western akiachia madaraka juhudi zake na ideology yake itafutwa

Mwalimu pekee alipoona ideology yake haifanyi kazi tena "ujamaa" aling'atuka na kubaki na misimamo yake na rais aliyefuata alibadilisha muelekeo wa kimfumo

Ila kama angetaka ideology yake ibaki asingeachia nchi mapema
 
Emerson Mnangagwa 'Ngwena' aka crocodile. Kwa taarifa tu, Grace Mugabe hawezi kupewa urais maana sio freedom fighter, yaan huyo sekretari wa zaman hakuwahi kushiriki harakati za ukombozi. Hivyo hata Mugabe akimpa madaraka, ataporwa baada ya dakika 2.
 
Nadhani hata kama asingefanya still Grace angepewa cheo tu
Grace atapewa vyeo vyote na Mugabe lakini sio urais. Kuna wapigania uhuru wengi sana wamepanga mstari na wanajiona wanastahili kumrithi Mugabe, hawatakubali mtu ambaye hakushiriki hata kushika peni wakati wa kudai uhuru awaongoze.

Nchi zilizopata uhuru kwa kumwaga damu zinathamin sana waliopigania uhuru. Angalia marais wote wa South Africa. Waliona bora wachague rais ambaye hajaenda shule kabisa (Zuma) kwakuwa tu kapigania ubaguzi wa rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…