Dr. Emerson Mnangagwa aliponzwa na waganga wa kienyeji

Nadhani hata kama asingefanya still Grace angepewa cheo tu
Grace atapewa vyeo vyote na Mugabe lakini sio urais. Kuna wapigania uhuru wengi sana wamepanga mstari na wanajiona wanastahili kumrithi Mugabe, hawatakubali mtu ambaye hakushiriki hata kushika peni wakati wa kudai uhuru awaongoze.

Nchi zilizopata uhuru kwa kumwaga damu zinathamin sana waliopigania uhuru. Angalia marais wote wa South Africa. Waliona bora wachague rais ambaye hajaenda shule kabisa (Zuma) kwakuwa tu kapigania ubaguzi wa rangi.
 
The crocodile ni kipenzi cha Wazimbabwe kuanzia wanajeshi mpaka Raia kwa hiyo kwa sasa hakupo salama hapo maana kaondolewa kwa kuwa ana sifa za kumrithi babu yote hayo yanaratibiwa na Mke wake...
 
Wapo South Africa wanasoma ni machalii wa around 20 to 25 ndio wale mama yao alimpiga binti mmoja model aliwakuta nao room hotelin
Ooh OK thanks nikajua walikuwa ni mabinti
 
Binti ni mmoja na wawili ni wa kiume;Vile vile alizaa mtoto mmoja wa kiume na mke wa kwanza ila alishafariki
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
siku zote za viongozi na wanasiasa siri wanazo wao ukiona wana fukuzwa au wana hama vyama walisha haribu
 

Ushirikina unachangia sana kutotumia akili zetu vizuri. Unatupa majawabu ya kufikirika. Unaua uwezo wetu wa kuona na kufikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…