Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

Hahaha 🀣 yaani umeamua kumbananisha jamaa ili akiri yeye ni wa upande upi ??!

Lakini jibu lake litakuwa lile lile maarufu
Nosensi 🀣 !
gentleman,
hakuna haja ya kupeana moyo kipwagu na kipwaguzi jukwaani.

ni vizuri kuishi katika ukweli huo mtupu, dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
 
πŸ™„ Duh πŸ™„ !
Na msitahafu si yupo 🀣 !
Kazi kweli Kweli !
Ngoja na Mimi niangalie the beneficiaries sides ili nitake side 😳 !

Maisha ni pamoja na kuangalia maslahi yangu !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…