PostGE2025 Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
 
Ni mtu wa Mtandao.

Kundi la kina Kikwete, Lowassa, Mwizi Rostam.

Wanapeana tu.
 
Anaitwa FRT. EMMANUEL NCHIMBI
 
Kuna Mzee Mtaani Hapa Anakwambia Unaweza Ijenga Legacy yako kwa karne kadhaa Ukaja Kuiharibu Mwenyewe kwa miaka kadhaa Hayo Tunayashuhudia Mwangalie mr born town kweli shetani ana nguvu
 
Kosa lake kubwa ni kuwa kwenye kundi la wauaji, japo yeye kiasili siyo muuaji. Hata hivyo, yeye mropokaji kama mwglu.
 
Huenda sasa hivi anaomba kimoyomoyo ili jambo litokee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…