Dr. Hamisi Kigwangalla aibua upya mjadala wa uwekezaji wa Mo Dewji. Ni wapi Anakosea?

Angekuwa anatoa huo ushauri kwa mafisadi ya CCM yanayoitafuna nchi angekuwa anafanya la maana sana ila hapo inaonyesha ni chuki binafsi tu hamna lingine ye mwenyewe fisadi alipiga pesa za wasanii mbona hakuna aliyemuhoji.
 
Ishu sio kusajili wachezaji quality, ishu ni viongozi wanaohusika na usajili waache tamaa na kumpiga Mo changa la macho.

Mo anatoa bilioni 1 ya usajili, wanasajiliwa wachezaji wa milioni 500 ambao ni matakataka, mia 5 inayobaki viongozi wanaifinya.
Hiyo bil 1 katika timu kama Al Ahly inatosha kusajili mchezaji mmoja tu na chenji haibaki alafu leo hii mnataka mfike fainali ya champions
 
Yeye anadhani kuendesha mpira ni kama chama cha CCM kukaa madarakani muda wote..!

Kwahivyo na Liverpool msimu huu kukosa kote kote kutwaa ubingwa tatizo ni Uwekezaji?

Kingwa ni mpumbavu kupita kiasi
 
Umenikumbusha Jimmy David Ngonya
 
Anachohoji Zaidi Bw Kigwanomics Na Kinachomuuma Sana Ni Hivi Kama Ni Kweli 20B Zipo Kwenye Account Kwanini Zisingetumika Kununua Mechi Kama Yanga Maana Kama Ni Pumzi Round Ya Pili Yanga Ilishakata [emoji23]
 
Aache kumkatisha tamaa mwekezaji wetu, anatumia pesa nyingi kuiendesha timu, kwani anavyolalamika kuna siku hata kawahi kuisafirisha timu, Yeye naye si alikuwa mwanza akiwa na mambo yake ya kuzindua baa ya the CASK ? Wakati watu wanaiandaa timu yeye kafanya nini? Siku M.O au G.S.M wajitoe kwenye hizi timu, chawa wote wanaopiga mishemishe timu zishinde nao wanajitoa,halafu wataibuka wapigadili wapya wa kusubiri viingilio na kupiga 10% ya usajili wa kimchongo
 
Ishu sio kusajili wachezaji quality, ishu ni viongozi wanaohusika na usajili waache tamaa na kumpiga Mo changa la macho.

Mo anatoa bilioni 1 ya usajili, wanasajiliwa wachezaji wa milioni 500 ambao ni matakataka, mia 5 inayobaki viongozi wanaifinya.
Hyo 1bn ya Usajili anayoitoa Mo Ulishawahi Kuiona?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sioni Hoja hapo zaidi ya chuki,binafsi Sina chakuwadai wachezaji Wala viongozi wamefanya vizuri Misimu minne kwa kiwango Bora.hakuna anayeweza kubaki juu milele.
 
kwani unaposema wawekezaji wanatumia uzuzu wetu kwa faida yao wenyewe unamaanisha nini hasa? Au unataka na mashabiki wanufaike kifedha kama muwekezaji? Wawekezaji na wamiliki wote wa vilabu vyote duniani wanalenga kupata faida katika uwekezaji wao, na mashabiki duniani kote wao wanachohitaji ni furaha tu basi hakuna mshabiki awe wa arsenal, madrid au watimu yeyote ile anaenufaika kwakupata fedha directly kutoka katika timu au kwamuwekezaji zaidi yakupata furaha inayotokana na uwekezaji uliowekwa kwenye timu nahiyo ni win win situation.....ni bora tuwakabizi timu wawekezaji wanaotuletea furaha mfano MO alieitambulisha brand ya simba kuwa moja ya brand kubwa afrika nzima ndani ya miaka 5 tu achilia mbali mafanikio kuliko kuwapa timu kikundi cha wapigaji walioshindwa kuipa simba mafanikio miaka zaidi ya 35+ kwakuweka maslahi yao mbele yaupigaji ela za viingilio na usajili nakushindwa kutupa mashabiki furaha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…