Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kahoji mafanikio au kahoji uwekezaji
Hiyo bil 1 katika timu kama Al Ahly inatosha kusajili mchezaji mmoja tu na chenji haibaki alafu leo hii mnataka mfike fainali ya championsIshu sio kusajili wachezaji quality, ishu ni viongozi wanaohusika na usajili waache tamaa na kumpiga Mo changa la macho.
Mo anatoa bilioni 1 ya usajili, wanasajiliwa wachezaji wa milioni 500 ambao ni matakataka, mia 5 inayobaki viongozi wanaifinya.
Leo Ndo Mnalijua Hilo?!, Si Tulikubaliana Simba Ni Lidude Likubwa Sana [emoji23][emoji23][emoji23]Kigwangala aache unafiki . Hakuna timu yoyote hapa duniani ambayo imewahi kuwa kwenye mafanikio muda wote .
Hapana, kinahusu nini mkuuHivi mmesoma kitabu chake cha kigwanomics
Kwani simba ingebeba vikombe vyote angehoji huo uwekezaji?Kwani kahoji mafanikio au kahoji uwekezaji
Umenikumbusha Jimmy David NgonyaTatizo leno ni kutojitambua kuwa hao mnaowaita wawekezaji wanatumia uzuzu wenu kwa faida zao wenyewe!! Nyinyi maishani mwenu mtabakia washangiliaji tu!! Fungueni akili acheni upumbavu huo!! Hiyo mnayodanganywa cheki ni ya benki gani hapa nchini? Jibuni maswali msilete matusi mimi sio size yenu!!!
Nakumbuka wakati marehemu David Ngonya [ Gorbachev] akiwa Katibu mkuu wa klabu hiyo kulikuwa hakuna ujinga wa wawekezaji kuchezea hiyo club!
Hyo 1bn ya Usajili anayoitoa Mo Ulishawahi Kuiona?Ishu sio kusajili wachezaji quality, ishu ni viongozi wanaohusika na usajili waache tamaa na kumpiga Mo changa la macho.
Mo anatoa bilioni 1 ya usajili, wanasajiliwa wachezaji wa milioni 500 ambao ni matakataka, mia 5 inayobaki viongozi wanaifinya.
Kwa hiyo match ya jana mlimuuzia Yanga?Anachohoji Zaidi Bw Kigwanomics Na Kinachomuuma Sana Ni Hivi Kama Ni Kweli 20B Zipo Kwenye Account Kwanini Zisingetumika Kununua Mechi Kama Yanga Maana Kama Ni Pumzi Round Ya Pili Yanga Ilishakata [emoji23]
kwani unaposema wawekezaji wanatumia uzuzu wetu kwa faida yao wenyewe unamaanisha nini hasa? Au unataka na mashabiki wanufaike kifedha kama muwekezaji? Wawekezaji na wamiliki wote wa vilabu vyote duniani wanalenga kupata faida katika uwekezaji wao, na mashabiki duniani kote wao wanachohitaji ni furaha tu basi hakuna mshabiki awe wa arsenal, madrid au watimu yeyote ile anaenufaika kwakupata fedha directly kutoka katika timu au kwamuwekezaji zaidi yakupata furaha inayotokana na uwekezaji uliowekwa kwenye timu nahiyo ni win win situation.....ni bora tuwakabizi timu wawekezaji wanaotuletea furaha mfano MO alieitambulisha brand ya simba kuwa moja ya brand kubwa afrika nzima ndani ya miaka 5 tu achilia mbali mafanikio kuliko kuwapa timu kikundi cha wapigaji walioshindwa kuipa simba mafanikio miaka zaidi ya 35+ kwakuweka maslahi yao mbele yaupigaji ela za viingilio na usajili nakushindwa kutupa mashabiki furaha.....Tatizo leno ni kutojitambua kuwa hao mnaowaita wawekezaji wanatumia uzuzu wenu kwa faida zao wenyewe!! Nyinyi maishani mwenu mtabakia washangiliaji tu!! Fungueni akili acheni upumbavu huo!! Hiyo mnayodanganywa cheki ni ya benki gani hapa nchini? Jibuni maswali msilete matusi mimi sio size yenu!!!
Nakumbuka wakati marehemu David Ngonya [ Gorbachev] akiwa Katibu mkuu wa klabu hiyo kulikuwa hakuna ujinga wa wawekezaji kuchezea hiyo club!