na katika enzi zake mafanikio ya timu yalikuwa yapi?Nakumbuka wakati marehemu David Ngonya [ Gorbachev] akiwa Katibu mkuu wa klabu hiyo kulikuwa hakuna ujinga wa wawekezaji kuchezea hiyo club!
Hana lolote,yeye ile sanamu ya mwalimu ni ya kweli?Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSC Tanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejikuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa Ligi KUU Tanzania bara.
Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.
Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.
Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?
View attachment 2242638
View attachment 2242639
View attachment 2242640
Wawekezaji wote wanataka faida, kuanzia madrid hadi simbaTatizo leno ni kutojitambua kuwa hao mnaowaita wawekezaji wanatumia uzuzu wenu kwa faida zao wenyewe!! Nyinyi maishani mwenu mtabakia washangiliaji tu!! Fungueni akili acheni upumbavu huo!! Hiyo mnayodanganywa cheki ni ya benki gani hapa nchini? Jibuni maswali msilete matusi mimi sio size yenu!!!
Nakumbuka wakati marehemu David Ngonya [ Gorbachev] akiwa Katibu mkuu wa klabu hiyo kulikuwa hakuna ujinga wa wawekezaji kuchezea hiyo club!
Dubwana la kutisha sana 😂Simba Ni Lidude Likubwa Sana [emoji1787]
Ni lini watu walionesha cheki halisi ya benki siku ya kusaini mkataba au zawadi?Tatizo leno ni kutojitambua kuwa hao mnaowaita wawekezaji wanatumia uzuzu wenu kwa faida zao wenyewe!! Nyinyi maishani mwenu mtabakia washangiliaji tu!! Fungueni akili acheni upumbavu huo!! Hiyo mnayodanganywa cheki ni ya benki gani hapa nchini? Jibuni maswali msilete matusi mimi sio size yenu!!!
Nakumbuka wakati marehemu David Ngonya [ Gorbachev] akiwa Katibu mkuu wa klabu hiyo kulikuwa hakuna ujinga wa wawekezaji kuchezea hiyo club!
Round Ya Pili Yanga Wanakata Pumzi [emoji1787]
😂😂😂😂😂Round Ya Pili Yanga Wanakata Pumzi [emoji1787]
Sasa kama hujawahi kuichangia klabu hata juis ya sh 500 unahoji nini? Utahoji kitu ambacho hakikuhusu ndewe wala sikio?Kutoa maoni kuhusu klabu ni lazima uwe una hisa klabuni?
Hamis katoa shilling ngapi Simba?
Upeo wake ndio umeishia hapo?!Hamis katoa shilling ngapi Simba?
Poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Anatafuta mkopo wa pikipiki tu huyo za kampeni
Akikujibu nitag hapa.na katika enzi zake mafanikio ya timu yalikuwa yapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata angeweka hiyo 20b, kakoranya asingedaka lile shuti
Kama sio hela unasajiri vipi wachezaje wapya pasipo kuwa na fungu, Mo ana shida ameisaidia club lakini ana upotoshaji sana na ameshatuona maboya hatuwezi hoji kitu tupo tupo tu machawaHamna Cha maana, Simba shida yake sio hela.
Shida ya Simba ni poor management