Dr. Hildebrand Shayo

Acheni fikra za kimasikini kama za wakenya.Kiingereza ni cha waingereza siyo chetu.Mngesema huyo Dr hajui kabisa kiingereza au hiyo PhD yake ni ya lugha ya kiingereza labda ningewaelewa.Lakini hayo ya kufanya makosa ya kisarufi mimi sioni tatizo kwani lengo kuu la lugha yoyote ni mawasiliano.Sasa kama unaweza kuandika/kuongea lugha fulani na ujumbe ukaeleweka na hadhira yako,basi hakuna shida.Tujiulize hiki kiswahili ambacho ndiyo mother tongue hatukijui vizuri na huwa tunafanya makosa mengi tunapokitumia,sembuse kiingereza cha kujifunza ukubwani?
Labda mlete hoja-kwanini watanzania wengi hawajui walau kiingereza 'cha kuombea maji' wakati kiingereza ni lugha rasmi ya pili Tanzania?
 
Sasa wewe hivi unategemea nini toka kwa mtu aliyefanya kazi na HOSEA?
 
Wakina Pundit,na sijui mavitu gani.

Acheni mambo za kijinga na wivu za kike. Mtuonyeshe ni kitu gani mlichoandika, au kazi mlizofanya zaidi ya kujadili watu? Shayo kawashindA, nyamazeni.

Ikiwa mna guts za kujadili watu, basi jukwaa liko wazi, jibizaneni na Gitau wa Daily Nation ya kenya. Mliokuwa mkiwasemea pumba ndio HERO's sasa. Kijana mdogo mliyemsema ndiye aliyeweza kuwachambua wakenya kushoto na kulia ilhali kazi yenu ni umbea tu.
Mwacheni Shayo. Ikiwa mnaipenda Tanzannia basi mkapigane na wana EPA au wakenya

Tumia kalamu na karatasi kumjibu Gitau kama una points sawa na mwana harakati.

Shayo anajaribu kuiamsha jamii ya kitanzania. Anajaribu kuwaamsheni nyinyi. Vizungu vya kukariri vitakusaidia nini? Mjomba J. Mashaka, kijana mdogo miaka 31, kasimama kidete kupambana na wakenya wakati nyinyi ni majungu tu. Si naye mlimsema sana humu?

Nyie pengine ni waosha vinywa vichovu au wahariri njaa wa bongo waliojaa majungu. Watu wasio na upeo wa aina yoyote zaidi ya ushirikina. Hawa siyo waandishi. Shayo ni mchumi, mashaka ni mwanasheria/banker kwa hiyo matatizo madogo yatakuwepo wanapoandika siyo sawa na nyinyi mnaokariri makamusi mchana kutwa heti kizungu kigumu? Tokeni hapa

Hapa ni uhuru wa kutoa mawazo bila kuvunja sheria. Kwa vile sijavunja sheria, kadhalika nina uhuru wa kuwasema kwa maana shuguli zenu ni kusema watu PUNDIT na surrogates!

vizungu vyao ni vya kisomi siyo vya kukariri toka kwenye makamuzi. mipangilio yao unaiweza wewe? Makala ya Shayo wewe unaweza kuyaandika? Nendeni zenu nyie vijidudu vya pori
 
Pundit mimi nakuhitaji "one on one" kizungu sawa, kiswahili nimo, lakini tutakuwa tunaongea mada siyo usengenyaji na dhihaka wakati hauna cha kuchangia. Au kama ni surrogates wako, waje nao. One on one. Msifanye hii forum kuwa sehemu ya uchafu. Tunataka mazingira mazuri kujadili mambo yenye maana kwa taifa letu !
 
CHINGAmzalendo,or whatever,u need to get a life.Random expletive comments are the first signs of a mortal heading towards permanent irreversable insanity.this 'one on one'thing you are advocating is usually preserved for people of the calibre of LOSERS in each and every aspect of life including the domestic front.hopefully thy medulla has dissected and comprehended all this.
with utmost kind regards,i will be back
 

Thanks buddy for this useful post...
kwani what should be considered important? verbosity or substance?
Inanikumbusha mwalimu wangu wa kijerumani... he was very knowledgable in the subject ila lugha ya kiingereza ilikuwa a challenge kwake... all the same he could communicate very well na tulimwelewa vizuri tu. Iweje tunaona ni jambo la ajabu kwa mtaalam mtanzania kuvunja grammar? lets be more objective tuenzi vyetu badala ya kuviponda.Wanaoponda vyao hawana tofauti na mtoto asiye na shukrani kwa wazazi wake mwenye kukebehi kwao na kusifia kwa jirani mara zote! kwako ni kwako tu hata kama ni kubaya.
 

CRAP of ALASKA !You seem to be a windbag blowing in a wrong direction; We are living in a different sphere where logic rules. Your sentence layout has revealed your level of exposure and know how. As such, I cannot prolong this debate, because I may end up debating with myself. You simply have nothing constructive to share. Leave Dr. Shayo alone
 

Mkuu, uko sahihi kabisa.

Watanzania ndivyo tulivyo, kuthamini na kupapatikia vya wageni (wazungu)..!
Lini tutajenga hulka ya kuwathamini na kuwaenzi wasomi wetu?

Kingereza kitu gani....?!
 

My friend, English is a very difficulty language. No body can claim to have a 100% mastery of this language, not even the Queen! Nimesoma na wazungu, waingereza, nilikuwa nawasahihisha punctuation, gramma, n.k., na wao vilevile walikuwa wananisahihisha.

Ni ushamba na ushambenga ku-doubt academic qualification ya mtu kwa sababu ya kukosea gramma, huo ni ushamba wa kutisha!
 

Ndio nini hiyo...? Lol
 

Teh teh teh...Kiinglish kigumu kama cha Oxford!Hapo hata Prof David Crystal atalazimika kuwa na dictionary pembeni.

Jokes aside,experience inaonyesha kuwa mara nyingi doubting Thomases wa elimu ni walewale ambao shule yao nayo ni ya utata mtupu.Hawa ni watu wanaotumia muda mrefu kuandika kitu kifupi kwa vile huhangaika wawezavyo kuchomekea "mabombastiki".
 
One of the greatest crimes commited by British colonialists/imperialists was to make Africans believe in this conjecture: English = Intellegence

And one of the greatest crimes commited by Tanzanian elites/bourgeosies was to make Tanzanians believe in this corrolary: Kiswahili = Mediocrity
 

Since you have nice grammar , more than Dr. Shayo, Can you analyse please whose fault is this?? Dr. Shayo, System? or ??

If you think Dr. Shayo has those problems, can you assure us other professor and PhD holders in our universities they dont have the same problem???

If you will agree or come to the point that you realise the problem is not him alone?? dont you think you are one of those person that they look things in one dimension??? In other words narrowed mind or views?

Your views is local and not global, global view is always discussing the source of problem, and remedy the root cause.

I think is high time for all of us to think about our language of instruction from childhood, since is the only stage that some one may understand and use english easily and very well.

Ghana,Botswana and many countries in western Africa, they are using english from their early education,they do study their local languages as subject up to their higher education.

Why do we have international schools?? whose children are studying there?? why???


Last the issue of language is very complicated never trust your grammar and thinks every one can accept ,grammar is changing from one place to another! even britain ,canadian, usa, still they differ in so many words

Perhaps my grammar in this very post is also poor, well I am learning....since is my third language

waberoya
 
______________
 
sasa tunamsubiri mnjanja wake bwana JOHN MASHAKA aingine
 
sasa tunamsubiri mnjanja wake bwana JOHN MASHAKA aingine

Nyie mnasema nini, Joni Mashaka akiingia unadhani Shayo atakuwa na la Kusema. Nakumbuka malumbano yake na Shayo yalivyofana, yaani alimchambua Shayo kama mtoto mdogo ,kiasi cha kumdhalilisha vile.

Ila Shayo pia siyo utani

Nadhani kwa wale waliosoma blogu ya michuzi hii wiki,Gitau Warigi pia kampasua katikati. kwa hiyo hapa sidhani kuna ubishi kwamba hawa wawili wanaweza kujadiliana. Mashaka, mimi nilimuona pale mnazi mmoja mwezi September akiwa na Kamanda kova ni mtoto mdogo sana, nadhani ni kati ya 28 hadi 30 hapo hajavuka huo umri. ila ni mtataribu sana
 
Hawa watu (Sahyo na John Mashaka) mimi wananichekesha tu.....I can't help not taking them seriously....
 
Hawa watu (Sahyo na John Mashaka) mimi wananichekesha tu.....I can't help not taking them seriously....

Ila shidani wana aspiration yoyote ya kisiasa. Maybe shayo. Mashaka is still too young to involve himself in politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…