Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
Kitila huwaga unanifurahisha sana...hupendi ubishi wala ugomvi....
Kitila Mkumbo,
..lugha uliyoitumia hapo mwanzo haikuwa nzuri. nadhani ndiyo sababu kuna wachangiaji wameshindwa kuelewa hoja uliyokuwa ukijenga.
..article walizoandika Dr.Shayo na John Mashaka baadhi ya walengwa wake ni "mangumbaru" kama wakina jokaKuu. sidhani kama kuna mchangiaji yeyote mwenye mawazo kwamba article zile zinaweza kuchapishwa ktk academic journals.
..sasa tukiacha suala hilo hapo juu, ambalo liko wazi kabisa, kinachonishangaza ni negative comments zinazoelekezwa kwa hawa vijana. yaani kila kijana anayeonekana kuchomoza kidogo basi anarushiwa maneno, anachimbwa, ilimradi aonekani hafai.
Unabishana vipi na mtu ambaye tayari amesha-make conclusion hata kabla hamjaanza mjadala. Halafu utabishanaje na watu ambao hawawezi kutofautisha kati ya public opinion iliyoandikwa kwenye blog na magazeti na academic articles ambazo kawaida huandikiwa kwenye academic journals. Hapo inabidi unyoshe mikono juu; mwishowe tutaanza malumbano na matusi...
Wanaotetea utumbo anaoandika 'Dr.' Shayo siwaelewi.
Being a 'Dr.' at South Bank is no big deal, dont test our intelligence.
Kuna vichwa vya kiTanzania viko downlow kwenye mambo kama ya uchumi na hawaongeii wala ku-type uncoordinated articles. Articles za maana zinakwenda kwenye journals, na kuna watu wengine hawana time ya kuandika articles. If you can find an article by 'Dr.' Shayo in a reputable international journal, then we can start rating him among 'vichwa'. And am not talking about articles on african development, diseases n usual malachy stuff, talk about economic issues.
Kama 'Dr.' Shayo ndio representation ya 'Vichwa' vya kiTanzania, then God save Tanzania and someone shoot me please, cos the future dont look bright at all as he seems to be taking quite a few people for a ride.
Everytime I read his articles I feel ashamed as a Tanzanian, cos that stuff is embarrasing. Imagine someone googling about Tanzania, bump into his article....and they read about a 'reputable Dr.' apparently.......ooooh shitesss........dudes need to go back to the blackboard!!
Halafu inabidi aache kujifanya ni specialist katika kila field; i.e uchumi, michezo, energy n.k. Ukisoma articles zake unajua kitu gani kaandika yeye, na kitu gani ameplagiarise. You can tell from the way the sentences dont connect.
Dude, go back to the drawing board and re-do your 'PhD'.
NZOKANHYILU, are you suggesting,kwamba most probably the 'Internal Report' would not make a good reading as a result of various flaws appearing now and then in his presentations?
On the contrary. It can make great reading indeed. Infact katika vitu vya papers na reports, lazima upitishe kwa watu wengine wasome na wasahihishe. No one is perfect. Hata maprofesa wanashare articles zao na critics wao, kabla haijawa published.
Infact, mimi sim-doubt kwamba jamaa sio intelligent. Nadhani ishu hapa hiyo PhD vipi? Na swali la PhD linakuja kutoka na utumbo anaoandika online.
Haya, kaja mpambe hapa analeta link za articles.
Nimeweka link ya University Guides hapo. South Bank ni Uni ndogo sana, ilikuwa ni college within the last 10-15years. Uni kama hizi mara nyingi zinapasisha watu ili ranking zao zipande na wapate funds. Standard za acceptance ziko chini sana. Mara nyingi walimu hawako madarasani wanafanya miradi yao ya Tuition au miradi ya nguruwe.
Kama kweli mna mrank as a 'kichwa' academic, then I feel sorry for the state of Tanzania, and you are really taking the piss on real wasomi around the world (waKitanzania) ambao wametulia tuuuu. Angekuwa red-brick university na akatoa utumbo kama huo ningeshangaa sana. Lakini PhD alipopata, na utumbo anaoandika, havinishangazi. Nadhani ndio basis ya swali la GT.
You can hate this opinion, hate me or whattever, but the dude is passing out as a 'Tanzanian academic', now, that I dont and wont accept so long I come across those crappy articles!!
What he writes, is a reflection of his education level and as a result his educational title he fluffs about gets questioned.
Basis ya swali la GT,ni whether PhD ya Shayo ni authentic au ni kama ya kina Mponjoli.Hilo limeshajibiwa.Tatizo sio kama jibu hilo halitoshelezi,bali halikidhi matakwa ya haters wa academic achievement.
Hebu tuwekee basi huo UTUMBO kisha utuonyeshe namna wewe mwanazuoni ungeweza kuandika kilicho bora.Ni rahisi kuropoka hapa kwamba alichaondika flani ni utumbo ilhali kuandika kitu bora kuhusu maisha yako mwenyewe ni mgogoro.By the way,ungeweza kutupa kitu kikali sana kutokana na data ulizo kuwa UNASAKA HAPA
End of the day,Dr Shayo will always be referred to as Dr Shayo,and haters mtaendelea kuumia na kukosoa (pengine huku mki-wish nanyi siku moja katika maisha yenu mngepanda kibandiko kama hicho cha u-DR lakini it's too late now) but you cant change anything.
Simjiu Shayo personally lakini najua nini maana ya PhD,naimesoma baadhi ya machapisho yake ya kitaaluma,na nimeikubali kazi yake.Do you have to?It's up to you.Conclusion uloweka HAPA inatosha kabisa kueleza mantiki ya hoja zako.
Poa. Sijaclaim kuwa academic.
Mimi ni kijana kwa Dr. Shayo. Nikitaka PhD kwenye top-tier university napata. Na hapa naongelea top 5. Sijawahi kuandika article, kwasababu kwa background yangu, sio financially interesting. Nikitaka kuwa charterted, hayo mambo yana matter. Ila field yangu experience counts more that papers you write.
But I have the right to point a crappy article when I see one.
Nimemaliza bachelor straight away nikafundisha katika top-tier University, and am talking top 5.
Ukisumbuliwa fanya research.
Nzokanhyilu,
Come on, not everything is about money. Counting more does not stop you from sharing novel and useful stuff that you have discovered. What a lame excuse, that is? You can also fix your english Umefundisha at a top-tier University with a Bachelor degree at what capacity?
Poa. Sijaclaim kuwa academic.
Mimi ni kijana kwa Dr. Shayo. Nikitaka PhD kwenye top-tier university napata. Na hapa naongelea top 5. Sijawahi kuandika article, kwasababu kwa background yangu, sio financially interesting. Nikitaka kuwa charterted, hayo mambo yana matter. Ila field yangu experience counts more that papers you write.
But I have the right to point a crappy article when I see one.
Nimemaliza bachelor straight away nikafundisha katika top-tier University, and am talking top 5.
Ukisumbuliwa fanya research.
....Kwani siku hizi ukiweka bandiko kwa Michuzi au JF kuna malipo.Uandishi ni sehemu ya usomi,na visingizio vya backgrounds au financial interests do surely not hold water.Hivi kuna background isiyohitaji machapisho?Ulifundisha top-tier university,and that would definitely involve publication of some sort.....Finally,could yo do us "wapambe wa Dr Shayo" a little favour by pin-pointing madudu yaliyomo kwenye article unayoizungumzia (I have no idea which one you've been referring to)?Sijawahi kuandika article, kwasababu kwa background yangu, sio financially interesting
Najua namna academicians wanavyokosoana....a lecturer (former or current) from a top tier uni atapom-criticize lecturer mwenzie anatarajiwa kuja na thematical or theoretical arguements rather than analysis ya personal character or attributes.Kumbuka,great minds discuss iDEAS,average minds discuss events,and small minds discuss people.Hence it goes without saying kwamba central theme ya criticism yako,a (former/current) top-tier lecturer,ingekuwa kwenye issues zilizokuwa addressed na Dr Shayo katika article yake na hayo ya madudu ya lugha yangekuwa secondary.
By the way,top-tier university inayoajiri bachelor graduates kufundisha lazima itakuwa na matatizo binafsi.Anyway,labda iwe kufundisha in the sense of a tutorial assistant!But even that wouldnt make sense kwa a Bachelor degree holder kufundisha Bachelor degree students.Hiyo haihitaji research.I doubt kama Cambridge,Oxford,Imperial College,LSE au St Andrews (ndio top 5 hizo) wanakabiliwa na shortage ya staffs kiasi cha kuajiri Bachelor holders wenye experience but lacking Masters or PhD!Hata Mlimani (UDSM) hawa-entertain MADUDU ya aina hiyo regardless ya acute shortage of staff.
Bottom line is,just like you excercise your constitutional right to criticise crappy papers so does Dr Shayo,who's excercising his academic obligation to air his academic views based on HIS ACADEMIC QUALIFICATIONS and not mere EXPERIENCE!
Poa. Kalagabaho. But his articles are crap. I am happy not to write articles. When I write I will holla you.
Hivi kwanza PhD thesis yake inahusu nini?
Anyways, napoteza muda kujadili kitu hakina maendeleo kwangu.
But he is not academic. Trust me, kuna academics waKiTanzania katika shule za maana. Fanya research utakutana nao. Kaa chini, fanya research.
Hoja hujibiwa na hoja.You are talking about HIS ARTICLES,nimekuomba kwa heshima na taadhima utupe reference ya article unayoizungumzia,umekwepa.Najua tatizo sio kwamba huwezi kuipata,bali ukiipata utashindwa kuthibitisha madai yako KISOMI.
May be true,he might not be academic to you but remains academician to those who value what he does.
I know kwamba kuna "academics" wa Kitanzania katika shule za maana,na pengine hiyo ilisaidia kwa mwenzetu kukubaliwa kufundisha a top-tier university na Bachelor yako!
You talking of research couldn't get funnier...Mwenyekiti Mao alisema no research,no right to speak.Unanishauri nikae chini kufanya research (actually ninamalizia moja hivi sasa out of a couple I have managed to do) ilhali wewe unashindwa ku-substantiate arguements zako kwa kuweka reference ya articles unazozungumzia!!!?Just quote japo sehemu ndogo tu ya said article,onyesha madudu uliyoyaona,kisha tupatie kilicho bora!Nadhani hivyo ndivyo mlivyokuwa mnafanya (au bado mnafanya) hapo kwenye top-tier university when it comes to criticising a paper or an arguement!