Kwa vile ulishawahi kuongea nae,japo once,hiyo ndio ilikuwa nafasi mwafaka ya kumuuliza title ya PhD Thesis yake.I think this is the wrong place for that.Au namna gani vipi,hao wanafunzi wake (alowakimbia,allegedly) wanaweza kuwa na jibu zuri zaidi.
Ahh kaka,this is now too much.Unakuja na mambo ya ajabu ajabu.Kwanza ulituambia ulifundisha a top-tier university (hukutupa japo jina au location ) mara baada ya kumaliza first degree yako....Sasa unakuja na habari za mentor wako aliyefanya PhD ilioyozaa thesis ya kurasa 12 tu.Well,sijui hiyo PhD ilikuwa ya Kiingereza,Kiarabu au lugha gani kwa hiyo siwezi ku-comment kwenye idadi ya kurasa.Kwa taarifa tu,taratibu za vyuo vingi vya kimataifa ni maneno 100,000...sasa kama mentor wako aliweza kuya-squeze katika page 12,that's unbelievably superb!!!!
Ah,halafu nusura nisahau.Ushasema kazi ya mentor wako imekuwa template kwa nearly 40 yrs,implying tunazungumzia PhDs za 1960s.I agree with you,standards za miaka hiyo zinaweza kuwa tofauti na miaka hii.Kama dissertations za UDSM zimekuwa zikichapwa na departmental secretaries hadi 1990s tutegemee nini enzi hizo za 1960s?....but I'm in no way whatsoever suggesting that your mentor graduated from there.
Na unaposema kwamba kazi ya mentor wako imekuwa template kwa wengine unamaanisha nini hasa? PLAGIARISM?
Call it upambe kwa Dr Shayo but I cant blame you.Nazijua mbinde za kukamata PhD,na huenda nawe ungezijua au ku-experience japo kwa kutengeneza thesis ya page 12 tu basi pengine ungekuwa na mtizamo tofauti....
Poa, personally sina haja ya kuprove chochote kwako. I know my level, na ndio maana naandika nachoandika.
Sina issue na PhD yake, ila utumbo anaoandika hauendani na mtu mwenye PhD. Therefore, ndio watu kuuliza hiyo PhD vipi?
I am happy not to write articles. I am also very happy to comment on good and crap articles and question the credentials of the writer too.
Mimi Engineer, I do things that work. Economist, watu wa maendeleo etc wana-theorise sana, na ndio waliotuweka kwenye mess hiyo hiyo aliyemjibu Prof. Ndulu. Na theories za hizo PhD hazijaleta maendeleo Africa.
Kuna article ambayo haipatikani online sasa hivi ila aliandika TZUK ilikuwa utumbo mtupu. Wasiliana na TZUK wakupe article zote. Mimi sina muda huo, niko busy nafanya mambo ambayo yanaleta instant mabadiliko. Sina muda wa ku-theorise.
Tukubaliane,
- mimi siwezi ku-prove vitu nilivyosema kuhusu mimi
- mimi sina uwezo wa kupata PhD
- wewe unaamini Dr. Shayo ni kichwa na ana PhD kali
- mimi naona PhD yake ni ya utata kutokana na utumbo anaoandika na sehemu aliyoipata
- wewe unaamini ninatamani hiyo PhD ya Dr. Shayo
- mimi naamini jamaa ni intelligent ndio maana yupo alipo
- Nikitaka kufanya PhD naweza, ila imani zangu nikifanya PhD ni practical na italeta maendeleo na mabadiliko. Infact nina uwezo wa kufanya project ya miezi 3 tu na ikawa template ya maendeleo.
Nakutakia kila la heri na Economic Advisor wa Prof. Ndulu. Nina mwombea kila la heri aweze kuwa kiongozi mzuri Tanzania asaidie kuondoa umasikini katika nchi yetu.
last thing;
NAOMBA TITLE YA PhD THESIS YAKE, I AM HUNGERING FOR KNOWLEDGE!