Dr: Huu ndio Unywaji salama wa pombe kwa wanaume, wanawake na wajawazito

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085

Wanaume ni vipimo (units) 3 kwa siku au 21 kwa wiki.

Kipimo kimoja = chupa 1 ya bia; bilauri (glass) 1 ya mvinyo = Tot moja ya whisk, gin, konyaji nk.

Wanawake: Wasizidishe vipimo (units) 3 kwa siku au 14 kwa wiki.

Wajawazito: Hawaruhusiwi kunywa kabisa. Ikiwa ni lazima sana wanywe unit 1-2 mara moja au mbili kwa wiki na kabisa wasijaribu kulewa
 

Attachments

  • alcohol-abuse-in-pregnacy.jpg
    4.3 KB · Views: 1,481

Bikari ya mvinyo ndiyo kidudu gani kaka?
 
kuna mama mmoja tunakaa nae huku mtaani ni Mjamzito ila anagonganye Castle lite

nimemwambia hairuhusiwi lakin naona mmaza haelewi wala nini
 
kuna mama mmoja tunakaa nae huku mtaani ni Mjamzito ila anagonganye Castle lite

nimemwambia hairuhusiwi lakin naona mmaza haelewi wala nini
Huyo mtoto wake atakayemzaa itakuwa bila gongo ya Muhogo halewi.
 
Kumbe mimi Ambiente Guru napatia sana unywaji wangu yaani ni hivyohivyo,na saa hizi jioni nikitoka kazini napiga hizo units 3 tu za Castle Lager narudi home.
 
mhhh.. haya tumeipokea. nitajaribu kuifanyia kazi japo ni ngumu sana. hii ina apply na weekends?
 
mhhh.. haya tumeipokea. nitajaribu kuifanyia kazi japo ni ngumu sana. hii ina apply na weekends?

Siku = Units 3

Wiki =Units 21 au (Kreti Moja)

Mwezi = Kreti Nne

Mwaka= Kreti 48

Mwaka =Units 1,200

Let say unit moja = TSHS. 2,000

Jumla = 2,000*1,200 = THS. 2,400,000/=

Na hii ni bajeti ya units ambayo imebarikiwa na madaktari bado ya waleeee " vya pombe" ndiyo maana si ajabu kodi za pombe zinaendesha maisha.

Mshahara Kima Cha Chini = TZS 200,000/* 12 = TZS 2,400,000/=
 
huu ndo ukweli ila ....usishangae....watu wakikupinga ........huu ni ufukara ambao unarithishwa kwa vizazi vijavyo
 

hapo bado hatujarudi kwenye imani zetu zinatuambia nini juu ya pombe/uraibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…