Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Ole wake yule ampaye nduguye kilevi !
Mpe pombe maskini asahau shida zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole wake yule ampaye nduguye kilevi !
kuna mama mmoja tunakaa nae huku mtaani ni Mjamzito ila anagonganye Castle lite
nimemwambia hairuhusiwi lakin naona mmaza haelewi wala nini
Wapi huko? Kuuuleeeee au huku kwa sasa? Atakua na msongo tu
Unywaji pombe wakati wa ujauzito huharibu mimba
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...-hfd-HjGUqunQiquN3JAb_Q&bvm=bv.59568121,d.bGQ
Mpe pombe maskini asahau shida zake
mhhh.. haya tumeipokea. nitajaribu kuifanyia kazi japo ni ngumu sana. hii ina apply na weekends?
Wanaume ni vipimo (units) 3 kwa siku au 21 kwa wiki.
Kipimo kimoja = chupa 1 ya bia; bilauri (glass) 1 ya mvinyo = Tot moja ya whisk, gin, konyaji nk.
Wanawake: Wasizidishe vipimo (units) 3 kwa siku au 14 kwa wiki.
Wajawazito: Hawaruhusiwi kunywa kabisa. Ikiwa ni lazima sana wanywe unit 1-2 mara moja au mbili kwa wiki na kabisa wasijaribu kulewa
...unit 3??? If you cannot drink kalaleeeee.
hahaaaa wala nilishuhudia mimba mbili mwanamke alikuwa halali hajanywa guiness Enzi zile za vichupa vidogo na watoto wapo vizuri tu darasanihahhaaa
hahaaaa wala nilishuhudia mimba mbili mwanamke alikuwa halali hajanywa guiness Enzi zile za vichupa vidogo na watoto wapo vizuri tu darasani
Notedthis could be exceptional case, dont bank on it
Mtotol atazaliwa anapngea kikurdish huyo ohoookuna mama mmoja tunakaa nae huku mtaani ni Mjamzito ila anagonganye Castle lite
nimemwambia hairuhusiwi lakin naona mmaza haelewi wala nini