DR INTERN AVUJISHA SIRI ZA MGONJWA

DR INTERN AVUJISHA SIRI ZA MGONJWA

Hako kadaktari ka twitter Celine ni kashenzi....juzi kamepost x-ray ya jamaa kapasuliwa yai mk.ndn...kanasema mgonjwa alisema alikuwa anaokota mayai bandani!!!

Ndio shida ya kuwa na madaktari watoto!

Ethics hazizingatiwi
Tatizo wanafanya kazi huku wanawaza wanaume kwenda kupasuliwa
 
MODS: Huu upuuzi haupaswi kuwa jukwaa la Siasa. Peleka kule ChitChat

BoQ, @blackbo, Cookie
 
Hako kadaktari ka twitter Celine ni kashenzi....juzi kamepost x-ray ya jamaa kapasuliwa yai mk.ndn...kanasema mgonjwa alisema alikuwa anaokota mayai bandani!!!

Ndio shida ya kuwa na madaktari watoto!

Ethics hazizingatiwi
Celine anatafuta attention ya kule twitter, aombe awe ameshavaa joho nje na hapo ajiandae kuapply upya TCU kozi ya mifugo
 
Hako kadaktari ka twitter Celine ni kashenzi....juzi kamepost x-ray ya jamaa kapasuliwa yai mk.ndn...kanasema mgonjwa alisema alikuwa anaokota mayai bandani!!!

Ndio shida ya kuwa na madaktari watoto!

Ethics hazizingatiwi
**"""kanasema mgonjwa alisema alikuwa anaokota mayai bandani!!!""" Mmh kwahiyo kuokota mayai ndo kukasababisha apigwe xray au hapa umetumia tafsida mkuu nimeshindwa kuelewa hili neno *kuokota mayai" maana hata mimi huku nafuga kuku wa kisasa
Mpaka sasa naanza kuogopa kutokana na hii kauli yako
 
Hakuna taarifa yoyote ya mgonjwa iliyovujishwa ila mgonjwa ndio amevujisha taarifa zake mwenyewe.
Wagonjwa uwa wana tabia za kupiga picha fomu zao,lengo la mgonjwa ilikuwa ni kumtongoza daktari alipoulizwa namba zangu umezitoa wapi ikabidi aonyeshe picha aliyopiga fomu yake.
 
Mkuu mletamada, aliyeweka hiyo nyaraka hapo ni huyo wa kiume na si Dr. Celine. Tafadhali usimharibie kibarua chake kwa sababu zisizo na mashiko. Hebu soma vyema hayo mawasiliano.
 
Hakuna taarifa yoyote ya mgonjwa iliyovujishwa ila mgonjwa ndio amevujisha taarifa zake mwenyewe.
Wagonjwa uwa wana tabia za kupiga picha fomu zao,lengo la mgonjwa ilikuwa ni kumtongoza daktari alipoulizwa namba zangu umezitoa wapi ikabidi aonyeshe picha aliyopiga fomu yake.
Kulikua na haja gani kupeleka kwenye mitandao..?
 
Kila mtu ana mtazamo wake kwenye hili la intern doctor mana yake mafunzo ya utaraji ya udaktari hivyo yupo bado kwenye mafunzo anapaswa ajifunze kutotoa siri za wagonjwa
 
Back
Top Bottom