Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

Pamoja na kuwa mimi sifungamani sana na masuala ya kisiasa ila ...tumseme makuful kwa mabaya na mazuri pia...ili tuwe fair

BARABARA: Ukweli ni kuwa Barabara zetu ni nzuri na zinabeba uzito kuliko barabara za jirani yetu Kenya ambao wengi hupenda kumtolea mfano.

TATIZO:
Tunatakiwa tufufue reli ili mizigo mizito ipitie huko... hicho tu ndio kitaokoa barabara.

Sina hakika kama umepata bahati ya ketembelea jirani zetu Kenya na kuvinjari mikoa ya huko; tofauti na hapo Nairobi huko kwingine barabara zimekwisha..Ila tatizo la msingi ni kama la kwetu. Mizigo mizito inapitishwa barabarani badala ya relini. Kwao tatizo ni kubwa zaidi kuliko sisi kwani stanani ya barabara zao za highway zinajengwa kwa uzito wa chini kidogo kuliko kwetu...sio kwa uzembe ila ni utaratibu wao.

HOJA YA VIWANJA VYA NDEGE NA MADAWA YA KULEVYA?????
Hivi watu wa migration na airport security si wapo chini ya wizara ya mambo ya ndani? Waziri wa ujenzi anatoka wapi huko?

KUHUSU KUBORESHA VIWANJA VYA NDEGE
Sisi watu wa uchumi tuna sema kinachofanyika kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege ni Opportunity cost;
kwa sababu bajeti haitoshi, ni suala tu la kuamua ujenge kiwanja mbeya ...kule kusini nao wawe na kiwanja au ukarabati hivi vilivyopo kule kusini wasubirie neema ya mungu ..bajeti itakapo tosha.

UFANISI KATIKA VIZARA ALIZOPITA:
Binafsi nahisi tofauti na wizara ya Ujenzi Makufuli amekuwa akihamishwa hamishwa sana hivyo hakupata nafasi ya kuonesha kipaji chake vya kutosha...project zote ambazo ni long term katika hizo wizara alizopita hakuweza kuzitekeleza/kuzimaliza...

Ni kwa mfano kiongozi atumie hela nyingi kufeka shamba...na kabla haja anza kuotesha ahamishwe...anayekuja kuchukua nafasi yake asioteshe kama ilivyo kusudiwa...kwa kila mmoja kuangalia vipaumbele vyake kwenye wizara husika. Watu wataishia kufikiri kiongozi wa kwanza amechezea hela nyingi kwa kufweka shamba ... kitu ambacho sio sawa

RELI NA SHIRIKA LA NDEGE
Nikiangalia kwa sura ya kiuchumi, suala la reli na Ndege sio la kuachia wizara moja...hizo ni project kubwa zinatakiwa budget itoke kwanza ya kumaliza matatizo yote yalioko ambayo ni makubwa karibia kuliko capital investiment .. ndio wizara iachiwe ianzie hapo kufanya kibiashara. Kwa hizi bajeti za wizara tegemea miujiza kutoka kwa mungu...reli na Ndege havita fufuka na hata ukitafuta shirika la kuprivataize hutapata au litamshinda. Nani atapokea matatizo na madeni yenye dhamani kuliko capita investiment????

Sijachangia hoja za kisiasa kwa miezi sasa ila...nimeshangazwa na mawazo yako unayo yawakilisha kwa hisia na hivyo kukosa mtiririko....nafikir tukiwa fair kidogo na sio ushabiki usio kuwa na maana tunavutia watu na kutuunga mkono.


Peoples!!!!!!!!
 
Tamaa ya fisi siku moja alizama ziwani kufuatilia mwezi akidhani ni mfupa!!!! Sasa wew kwa watu wa kukusanywa na kuletwa uwanjani na matangazo kila kona ndo yanakufanya uone kuwa mgombea wa Ukawa ameshapata uraisi!!! Hizo ni mbio za sakafuni!! Mwanadamu huwezi msemea moyo wake unawaza nin? Laiti kama mngekuwa mnakusanya kadi za kupigia kura kila mkutano mnaoufanya na kisha siku ya uchaguzi mkachagua mgombea wa Ukawa na kisha kumrudishia mwenye kadi kweli mngekuwa tayari mmeshinda lakini kama hamchukui kadi ya mpiga kura na siku ya kupiga kura mpiga kura yuko peke yake na anafikra zake basi tathmini yako ya kuangalia wingi wa watu ni ya kitoto kuwa kila ampaye pipi au bigijii mtoto basi anampenda mtoto huyo ambapo si kweli maana wapo wahalifu katika kundi la watenda hisani! Maana panaweza kuwa na mawingu na ishara ya mvua kunyesha na mvua isinyeshe kabisa hata wiki mbele maana mungu humnyanyua amtakaye na kumshusha asiyemtaka! Ushauri acha kujipendekeza utakuja kuaibika mbeleni safari bado mbichi sana! Maana hujui ya kesho bali subiri matokeo ndo useme neno maana sidhani kama umeshakuwa mtabiri
 
Cjawahi kukutana na mtanzania wa aina yako,cwez hata kuargue na wewe maana ulichoandika ni utoto mtupu.
 
a cha ubabaishaji soma ripoti ya Richmond mwakiembe alivyomaliza ujue hapo ndipo ccm walivuana nguo nanukuu "mheshimiwa spika na binge zima hii Ni nusu tu ya ripoti kwani tukimaliza yote serikali nzima itaanguka"

Jaribu kujenga utamaduni wa kusoma vitu vizuri pasipo kukurupuka na kujibu pointless. Swala la kubabaisha ungewaambia CHADEMA na SIASA ZAO ZA KINAFKI waliozunguka TZ nzima wakisema LOWASSA ni fisadi amehusika na RICHMOND na leo wanasema ni mtu safi na muadilifu.
 

usiendelee kuuaminisha umma kwa kutoa taarifa potofu juu ya ripoti ya mwakiembe, hivi unajua lowasa hakuojiwa na hiyo kamati unawza justified vipi uhusika wa lowasa bila kumuhoji?,lowasa amesema mkuu wa nchi ndio aliye idhinisha mkataba undelee,atoke ajibu hayo .lowasa alikaa kimya kumlinda rais na chama chao,ufisadi UPI mbaya kuliko wa kuuza nyumba na kuwapangishia maafisa wa serikali?
 

Ifike mahali sasa watanzania tuwe wazalendo kwa nchi yetu pia tusimamie kweli ya haki kuanzia ngazi ya mtu na tuendelee na jumuiya zetu.
Magufuli ni kama mawaziri wote tu wa wizara mbalimbali hana uchapakazi wa kutukuka kuzidi mawaziri wenzake wote ana mapungufu yake na mazuri pia, hivyo hivyo kwa Lowassa. Tatizo letu kama taifa ni kuzorota kwa kasi ya maendeleo na kufa kwa taasisi zetu .

Matumizi ya serikali yetu ni makubwa sana kuliko mapato tunayokusanya pia taasisi zetu nyingi hazifanyi kazi zao ipasavyo mfano:Takururu sioni hata umuhimu ,Polisi pia. Kama inafika mahali tunajadili na kusifu ujenzi wa barabara ni juhudi za waziri hapo kuna tatizo maana wapo pale kuktutumikia na tunalipa kodi ifike sasa tuweze kuwawajibisha viongozi tulio wapa dhamana ya uongozi.

Serikali inatakiwa kupembua vipaumbele vinavyogusa watanzania wote, kweli tuna sheria za mitandao ila hatuna sheria za kulinda vyanzo vya mapato yetu. Tunalalamika kuhusu tatizo la madawa ya kulevya rais anasema majina anayo ila anawapa muda kweli jamani tunajiita wazalendo?

Inatosha jamani tuache itikadi turudi kwenye uzalendo
 

Asante sana mkuu na karibu sana,
 
mzalendo aliyegawa nyumba ya serikali kwa mdogo wake???

mzalendo aliyenunua vivuko chakavu

mzalendo aliyeiacha kariakoo ikijengwa maghorofa yanayosemwa kila siku kuwa hayajakidhi viwango????

nionesheni uzalendo wa maghufuli ulipo au ni kulidanganya bunge mara mbili about 256 bl
 
Jamani hizi siasa ni za humu humu ndani mm huku niliko huyo wanayemzungumzia Lowasa kwa huku kwetu hana jipya. Ila wanachosema tu nikwamba cku akija wataenda kumuangalia tu lkn kitu kinachoitwa kupata kura "puuuu". Kwahiyo hapa hata wamponde Magufuli cjui wamsafishe Lowasa itakuwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Wanachojua na ninachoamini mimi rais wa awamu ya tano ni mheshimiwa Dr.John Joseph Pombe Magufuli huyu jembe anakubalika c mchezo.
Mm huku naendelea kupiga kampeni za ana kwa ana nikihusisha vijana jinsia zote,akina mama na akina baba pamoja na wazee ili kuhakikisha ushindi wa tsunam kwa jembe letu. Nawaacha nyie muendelee kupiga kampeni mitandaoni facebook,twiter,instgram,2go,badoo, JF & WhapsApp nk. huku mkidhania mmemaliza kwani najua siyo watanzania wote wanaotumia hizi mitandao isipokuwa kwa wachache tu ndo wanaotumia. Watanzani wanahitaji viongozi waadilifu na wachapa kazi il taifa lisonge mbele. Na watanzania wanataka kuchagua viongozi walioonesha juhudi ktk kazi.
 
Barabara hazina viwango kabisa mnasema msiyoyajua
 
Watanzania tulitaka kujua nani hasa alikuwa nyuma ya Richmond na sasa tumejua ni mkuu wa nchi alizuia Lowasa kuu-vunja ule mkataba. Sasa unachotaka nini kingine? Ukichukulia Mhusika mwenyewe hajakanusha.Tumia akili.
 

Juhudi zipi katika kazi

1) Miaka hamsini Taifa letu halina ndege hata moja??
2)Ufisadi umeshamiri kila kona
3)Madawa ya kulevya na vijana wanazidi kupotelea humo kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
4)Barabara zilizojengwa hazina viwango hazina alama za barabarani, haziana waenda kwa miguu ( Hopeless kabisa)
5)Matumizi mabaya ya madaraka na kuishi kwa mazoea
6)Shilingi inaporomoka siku baada ya siku kila kona kuna soko la giza (black market)
7)Ujinga na ushabiki wa siasa yaani kila kitu upuuzi upuuzi mtupu
8)Hospitali hazina huduma bora , elimu iko chini sana

yote haya yanasababishwa na kukosa viongozi walioshindwa kusimamia matumizi ya railimzali tulizonazo

Dont waste your time on explanation about your party people want to hear what they want to hear and its only the word changes
 
huyu ni chiz kweli hamjifunz kwa mlichofanya kwa lowasa leo mnakaz ya kumsafisha alafu mnarudia kwa magufuri jaribun kujenga hoja sio vtu vya kipuuz kama hvo
 
leta na ule UZI iliomchambua LOWASA!! tubalance Unafiki wako!! Yericko huna tofauti na LIPUMBA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…