UKAWA walete mgombea mpya ili kushindana na huyu jamaa
Yaani we acha tu! Tulibomolewa nyumba sasa tunabomolewa taifa letu kabisaa.
... Kama Nani
RIP UKAWA,wale wavivu wa kazi sasa mtanyooka
Mtumishi yeyote wa umma mvivu ajiandae kisaikolojia
.... So What?
Umeingia chaka, Tanzania inahitaji mtu mwenye vitendo kama Mr. POMBE.
Asante kutujuza. UKAWA umewaambia?Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
UKAWA inabidi wajipange sana kwa Magufuli. maana ni jembe kweli
Amahoro gawe mugabo!
Lema...... Kama Nani
Lema...
Wale wa kugeuza ofisi vijiwe wataisoma ..tunaanza na Tanesco jengo la Ubungo lipishe barabara