Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Kura zote zilizopigwa = 2,422
Kura zilizoharibika = 6
Kura halali =2,416
Magufuli = 2,104 (87.1 %)
Migiro = 59 (2.4 %)
Amina = 253 (10.5 %)
 
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) walikua malaika wake!

Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.

Hapana. JK ana uzoefu wa kuwatosa watu wanaojipendekeza.
 
Hongera Magufuli hatukutegemea kama ungefika katika nafasi hii,kazi ni kwako kuiunganisha chama kuwa wamoja kwa kuvunja makundi ndani ya chama chako.....
 
Sasa atakua MTU maarufu zaidi Bongo

Zama za JK zimekwishaaa
 
Nina Matarajio Makubwa Sana Nae Na Namwomba Tu Asituangushe SISI TULIOKUBALI KUTUKANWA, KUDHIHIHAKIWA, KUKEJELIWA Na KUDHARAULIWA Juu Yake Lakini Bado TUKAWA HATUJAKATA Tamaa Dhidi Yake Na Binafsi NIMEATHIRIKA Mno Na Kumuunga Kwangu Mkono Dr. Magufuli ILA Sitaki FADHILA YOYOTE Kwake Zaidi Ya KUMTAKA Rais Wetu Ajaye ATUTOE WATANZANIA Hapa Tulipo Na Atupeleke Katika Mafanikio Na Nchi Yetu IPAMBANE Na MATATIZO Makubwa Ya UMASIKINI, MAGONJWA, MIUNDO MBINU, UDINI Na UKABILA Na KIKUBWA Rais Wetu Ajaye Dr. John Pombe Magufuli AFANYE KILA AWEZALO Na ATUUNGANISHE WATANZANIA Na Namshauri Avae Viatu Vya WATANGULIZI Wake Wote ILA AFUATE Miiko Ya Chama Cha Mapinduzi Kuwa Ni Chama Cha WAKULIMA Na WAFANYAKAZI Na Nitazidi Kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu AONGOZE Kwa MAFANIKIO. Nina Furaha ILIYO Ya Ajabu Na Nasubiri Tu Kuvuliwa KOFIA Na Kupigiwa SALUTE Na Wale Wote Waliokuwa WAKINIBEZA Humu. NIMEFANIKIWA KULIKOTUKUKA Kwa 100% Na USHINDI Wa Dr. Magufuli UMEKUWA NI FIMBO Yangu NZURI Kwa Wale Wote WALIOKUWA WAKINIPUUZA, Akhsante Magufuli.

Eti kadoda11 Freelancer Edobeny La Brujita Ntuzu hivi Magufuli ni msukuma halisi kweli?! Maana...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom