Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015


Mkuu njiwa bora ulivyommulika huyo mchawi anae wanga kweupe ..looh jamani kabla ya kuja hapa angejaribu hata kufanya kautafiti kidogo tuu.kuna watu wengine wanapenda kujifanya wanajua kumbe hakuna lolote.
 
Hivi hakuna mkutano mkuu au mkutano wowote ambao utarushwa live wa UKAWA ili tuone wanavyomchagua mgombea wao wa urais?
mkutano wakufanya nini wakati mgombea atachaguliwa na mtu mmoja kutoka tengeru na mcaguliwa anafahamika ni slaa?! utarusha hewani mtu mmoja?
 
Mmmmhhhhh...!Ukawa ndo habari ya town..! Either uwe nasi or uingie forest ambayo pa kuingilia kumeandikwa "WRONG TURN"
 

Umeogea vyema sana hapa mkuu!
 
siasa za kanda hatutaki,wala karne hii hazisaidi taifa kwanza kanda badae
ukisikiwa na joshua nasari wa arumeru atakukimbiza, shauri yako. mwenzio anataka jamhuri ya kwetu.
 
Hivi kwani ukawa wameshapendekeza jina la mgombea?naona Slaa anajipachika tu,lakini msimamisheni pro Lipumba sio padre Slaa Hana sifa na elimu yake anafaa kuongoza Vatican.
 
Kama Magufuli na wagombea wenza wake wamesena " chama kwanza mtu baadae" sitegemei jipya kutoa CCM maana ni chama kile kile hata kama kikimwekea mtu makini. Hivyo nami sitachagua mtu..so No for Magufuli. Yes, for UKAWA.
 
Tatu bila yani diwani,mbunge na prezidaaa zinaenda ukawa tumaini jipya#tukutaneoktoba#
 
Mi sidhani kama magufuri ana bahati kama watu wanavyochukulia ila ndiyo mahitaji ya soko la viongozi kwa mazingira ya kisiasa tuliyonayo. Katika soko kuna kitu kinaitwa market forces na siyo lazima zije kwa njia uliyoizoea.
njia za kupata viongozi tulizozea huko nyuma either kwa kununua kura au upendeleo ndo zinawaaminisha watu kuwa Magufuri ana bahati. Mi nasema ni haki yake kulingana na vigezo vyake na muda husika. Wamegombea 42 jiulize kwanini yeye?

Nikirejea enzi za miaka ya 2000 wakati Saida kalori amepata umaarufu watu walisema amelala maskini na kaamuka tajiri. Tunaomfahamu huyu mama alikuwa akiimba kwa muda mrefu na kwa ustadi mkubwa ila ilikuwa huko vijijini. Miaka ya 20000 pakatokea urahisi wa wasanii kurwkodi nyimbo zao kiurahisi hapa Bonho na ndo muda huu saida akawa maarufu.

Kwahiyo napenda tuamini kila kitu kina muda wake na huenda mazingira ya siasa miaka ya mbele yakawa na mahitaji tofauti na ya sasa. Hapo napo watu watasema atakayepata kwamba ana bahati.
 
Hussein Mwinyi namkubali. ila kwa hii hotuba ya Magufuli mwanamke anaweza kua makamu Raisi
 

Naona kijana wa ufipa umepagawa unazunguka kila thread una paste huo utumbo....ongeza bidii we fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…