CHIMBULI WA CHIMBULI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 468
- 160
Siku zote tunasahau kwamba Makamu wa Rais ni potential President likitokea lolote kwa aliyepo madarakani.
Ni vyema awe na sifa stahiki!
Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!
mwenyekiti alitaka kumuweka braza ikashindikana,ikaja sista asha ikagoma
Rais Jakaya Kikwete hakutegemea John p. Magufuli kufika 3 bora na anajilaumu kukubali kumwingiza 5 bora...Lowassa na kambi yake wakaamua kumwaga mboga...
Huyu pombe si ndiyo alisema kama hatuna sh 200 ya kupandia panton tupige mbizi,
CCM naona wameamua kutusapriz
Majanga udini @work. Mbona yy presda alikuwa muslimu na kaimu wake akawa muslim kwa nn sasa haijawa hivyo kwa magufuli