Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

CCM imechoka kwa msingi kuwa watu waliamini KIKWETE ataleta mabadiliko lakini wenyewe tunaona hali ilivyo. endelea kuwa mjinga kwa kukimini ccm utajuta baadae mwenyewe.
 
Ukawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Hata wakasimamisha ng'ombe nitampa tu; maana nimechoka sasa!
 
hapa sifa haziangaliwi ndo mana BILAL katupwa nje mapeema hata tano bora jajagusa
Siku zote tunasahau kwamba Makamu wa Rais ni potential President likitokea lolote kwa aliyepo madarakani.
Ni vyema awe na sifa stahiki!
 
Ni Mwanamke!!!! Kikwete ana pepo la Ngono la kike.
 
anaetaka mahakama ya kadhi ahamie Saudia
msituzingue
aagh...
 
Majanga udini @work. Mbona yy presda alikuwa muslimu na kaimu wake akawa muslim kwa nn sasa haijawa hivyo kwa magufuli
 
Huyu pombe si ndiyo alisema kama hatuna sh 200 ya kupandia panton tupige mbizi,
 
mtakuja na theory nyingi sana lakini kwa taarifa yenu hakuna hata mmoja anayemjua Kikwete. kidogo lowasa, sitta na rostam wanaweza japo kumuelezea kwa 20%. jiulizeni lowasa na ubabe wake jina lake hata cc halikufika na tumeona vibaraka wake akina chimbi/kimbisa/sofia wakilalamia hivi angeshindwa nini kumuacha huyo magufuli nje? nani hata angehoji kama lowasa team wamenyea? waulizeni kwenye vita ya uspika kati ya chenge na sitta, mliona sarakazi zilivyokuwa. kuna mtu aliwahi hata kufikiria hilo kabla? Kwa taarifa yenu Kikwete ni chekibob wa mjini. msipoteze muda na huyo jamaa ni noma.
hata wale wanafunzi wa intern walipogoma wengine sijui hata kama wanavyeti leo matokeo yake tunayajua. huyo jamaa anacheka lakini siyo kabisa.



Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!

mwenyekiti alitaka kumuweka braza ikashindikana,ikaja sista asha ikagoma

Rais Jakaya Kikwete hakutegemea John p. Magufuli kufika 3 bora na anajilaumu kukubali kumwingiza 5 bora...Lowassa na kambi yake wakaamua kumwaga mboga...
 
Samia suluhu hassan kuteuliwa na dr john pombe magufuli kuwa mgombea mwenza katika historia ya tanzania ndiye mwanamke wa kwanza kuwa makamu wa rais
 
Samia suluhu hasan ndye makamu...team bilal na kna rostam hyo .....ma chaguo ya kikwete yote wameangukia pua
 
Majanga udini @work. Mbona yy presda alikuwa muslimu na kaimu wake akawa muslim kwa nn sasa haijawa hivyo kwa magufuli

Wewe ndo mwenye udini
hufurahii hata mwanamke mwenzio kuteuliwa?

Magufuli ndo kamuona huyu anafaaa
we ulitakaje?
 
Tutazame uwezo na stategic political attaiment to the country sio imani jamani tunarudi nyuma sana
 
Mmesha anza chokochoko zenu za udini,mwacheni magufuli aangalie mambo ya msingi ya maendeleo.
 
akili zilizojaaa mavi ndio kama hizo zinaanza kuongea kuhusu mahakama za kadhi leo, ulitegemea atatokea rais toka dini yako tena? acha ufamba.
 
Back
Top Bottom