umofia kwenu wana jf,
mh pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha
viwanja nane vya mbweni beach jkt na kujenga ghorofa
katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba
ndogo.
Huyu pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa
nane(kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously
kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,je akipewa urais si
itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa hafai
kuongoza nchi hii.
wewe mwehu una ugomvi gani na magufuli kila thread unapost hii makitu! Mimi ukawa lakini sina chuki za kijinga hivi!
Kwenda zako wewe.Ndugu zanguni
Leo wengi tulitegemea Amina Salum Ali kua mgombea mwenza. Lakini kitendo cha Magufuli kumteua SAMIA SULUHU kimethibitisha kua makundi ndani ya chama yamekufa rasmi
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI