Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

umofia kwenu wana jf,
mh pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha
viwanja nane vya mbweni beach jkt na kujenga ghorofa
katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba
ndogo.
Huyu pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa
nane(kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously
kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,je akipewa urais si
itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa hafai
kuongoza nchi hii.


umetumwa nani wadilifu kama sio wewe mwenyewe.......????
 
Magufuri ndo chaguo la Mungu ukawa mmeanza kuleta umbea wenu hapa
 
Ukawa watafute mgimbea nje ya lipumba mbatia na slaa...watafute mwafama wakubaliane....watafika
 
Ndugu zanguni

Leo wengi tulitegemea Amina Salum Ali kua mgombea mwenza. Lakini kitendo cha Magufuli kumteua SAMIA SULUHU kimethibitisha kua makundi ndani ya chama yamekufa rasmi

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
wewe mwehu una ugomvi gani na magufuli kila thread unapost hii makitu! Mimi ukawa lakini sina chuki za kijinga hivi!

mtu mwenyewe anajiita king kong angalia sura yake utafikiri alitelekezewa tumboni , ovyo kabisa.........sidhani hata kama ana bvr voting card
 
Ni hasira tu watarudiiiiiiii........chezea jembe na nyundo weyeeee
 
Mambo ni ukawa....

ccm%2Bkadi.jpg




Hakika....Ukawa tu
 
Bahati mby sana wengi wanaotoa hoja humu wengi wao hawapigi kura. Hivyo CCM watazidi kula mema ya nchi.
 
Ndugu zanguni

Leo wengi tulitegemea Amina Salum Ali kua mgombea mwenza. Lakini kitendo cha Magufuli kumteua SAMIA SULUHU kimethibitisha kua makundi ndani ya chama yamekufa rasmi

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwenda zako wewe.
Labda wewe ndio ulitegemea... usiseme tulivyo... Halafu kwa taarifa yako Magufuli anakuja kuvunja mtandao wako wa rushwa ya kukagua magari. Hili swala ndio tunaanza nalo kulishikia bango.
 
Hamna mvutano wowote JK kaishamaliza kila kitu Magufuli anapangiwa safu.

Cc; Kimweri


Kwenye safu hapo ndio mlikuwa mnamtaka Membe/Migiro ila baada ya maji kuzidi unga mmempachika Pombe ili remote ya msoga na family yake iendelee kubofya inachotaka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom