Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

too late! Ulikuwa wapi kuyasema haya kipindi yuko katika huo wadhifa uje uyaseme leo? Inamaana wote wale ni wasafi kuliko magufuli? Mtaje mmoja ambae hana kashfa katika macho yako
 
Magufuli asipoingiliwa katika utendaji na waliomtuma, basi tutashuhudia rais muwajibikaji katika historia ya Tanzania...

Ni wakati wa Tanzania mpya kuamka sasa na kusonga mbele kuyaelekea maendeleo...

Shime Watanzania
 
Wengi watasema wanavyotaka lakini lazima tuamini kama bila amani ambayo imeletwa na uongozi wa ccm hakuna Tanzania.Mara nyingi majirani zetu wametuchokonowa lakini serikali zote za ccm zimetumia busara kutuliza hizo chokochoko. Sasa tunaomba na wewe uliye changuliwa leo tafadhali yaendeleze hayo.
 

Ingekuwa vizuri kati ya hao wanne walikuwa wasafi kiasi gani. Been saying all along ndani ya CCM ni vigumu sana kumpata msafi kutokana na institutional corruption. Hata angepatikana msafi kama yule jamaa wa Kigoma, asingefaa kuwa kiongozi

Kwa hiyo tusianze kumrushia madogo Magufuli, cha muhimu ni kuhakikisha awe mmoja wa candidates tunaowataka. Tusibiri wa UKAWA sasa...
 
A man of 'change' katika uhalisia wake...you can't hide your true green colours..

Still following me behind.

whats up? Wanted me to talk about Mchakato wa siri wa UKAWA?there is nothig to talk about, since it's all in closed doors.
 
Sasa tutaletewa makamu wa Rais aliyeambulia 3% ya kura za wajumbe wa Mkutano Mkuu
Sio lazima Mgombea mwenza achukuliwe katika 3 Bora
Gharibu Bilali aligombea kuteuliwa kuwa Rais wa Zanzibar na wala hakuomba ya Tanzania nzima kule Kizota, lakini aliliondoa jina akabakia Shein na JK aliposhinda alimuomba wala hakumchukua Salim Ahmed aliyeingia naye 3 Bora na Mwandosya
Kwa hiyo ni matakwa ya Magufuli kumchukua amina au kumuacha
 

Mkuu heri yake MASOLEX anapiga lakini kazi anafanya. Huoni kama kuna unafuu? Tatizo hawa viongozi wengine hela wanakula na uchapakazi zero! which is better?
 
Daah sasa naiona kabisa picha ya kuvuka kwenda kigamboni kwa mbizi
 

Wewe ni mpuuzi kabisa nani kakuambia magufuli hakubaliki
 
Kinachonisikitisha sio Magufuli kuwa rais, bali Jk and co kuendelea kuishika ikulu na CCM.Hii ni worst case scenario.

Huyu ni punda wa JK.Tena punda mtiifu asiyejiuliza mara mbili kutekeleza maagizo.

Sijui tuitoeje nchi hii from these dirty hands! UKAWA nanyi hamueleweki aaargh!
 
Sasa mbona hizo percent za Mh. Migiro na Mh. Ali zinapishana, moja inasema asilimia 10 nyingine ni asilimia 3. Anyway mleteni sasa huyo Magufuli tunamsubiri na kukutana Oktoba.

CCm walikosea kuzitoa.

zilizoko ndio official results. Amina ana asilimia kumi.
 
Naungana na Lizaboni.
Mhe. Mungu akupe Hekima na Busara Kama Mfalme Suleiman. Usituangushe.
Queen Esther

Mungu atoi hekima katika Nyumba ya waovu. Jiandae kulalamika kwa miaka mitano ikiwa Mungu hataingilia kati na kutuokoa.
 
Still following me behind.

whats up? Wanted me to talk about Mchakato wa siri wa UKAWA?there is nothig to talk about, since it's all in closed doors.

Point of correction..this is not twitter, this is JF, there is no 'following' here..

There is nothing like 'mchakato wa siri UKAWA' , I'm not aware of that..

Camouflaging..nothing is wrong..we still have an election though..
 
Pamoja na kwamba siipendi CCM ila kupitishwa kwa maghufuli ni kwamba sio jambo rahisi sana kwa UKAWa kuwaaminisha watanzania wa hali ya kawaida wasiofuatilia mambo kuwa huyu jamaaa ni mchafu.
Nawabeni ukawa msichukulie poa na msikae tu na kujifariji kuwa njia ni nyeupe., hakuna kitu kama hicho,
Pamoja na kuungana kuna uwezekano mkubwa ccm wakashibnda kwa kishindo pia .
Tusidanganyane hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…