Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Hussein Mwinyi is good one! I hope he will be the one!

Mmesema kwa Makongoro ni kuendeleza ufalme lakini kwa Karume na Mwinyi kumbe siyo ..huu ubaguzi wao ipo siku utawagharimu hata kama wanajifanya wanajitahidi kuufunika
 
Spika anatangaza
Jumla ya kura 2422
Zilizoharibika. 6
Halali. 2416
Magufuli 2104 asilimia 87.1
Asharose 59 asilimia 2.4
Amina. 253 asilimia 10.5
 
Busara itatumika kwa Bilali kuachwa amalize miaka mitano mingine, kama ilivyokua kwa Shein.
 
attachment.php
 
Kwa vile Amina kajaribu basi mimi nahisi wampe Balozi Amina.


Kwanza kumpa Shamsi ni kuendeleza siasa za mpasuko kwa Zanzibar. Kumpa Mwinyi itahisiwa kuwa chama kina wenyewe na si cha wote
 
Magufuli hawez kusema kitu ndani ya ccm atabakitu remote control kutoka kwa kikwete siku zote
 
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓

john ni joni walker ile pombe ka;i
 
Edit hizo hesabu haziko sawa. Nimeshangaa hata makinda anasema Asha Rose kapata 59% ya kura. Kwa maana hiyo angekuwa mshindi na 87% za magufuri singekuwepo

HV alama hii % unaelewa maana yake au umekurupuka? Asha angepata 59% sio ndo angekuwa mshindi? jf great thinkers,probably
 
hii ndiyo mbinu ambayo ccm hutumia ili kuharibu makundi ambayo hujitokeza nyakati za uchaguzi. baada ya jina la lowasa kukatwa chama kingegawanyika iwapo membe angepitishwa.
 
haijalishi. magufuli ndo rais ajaye. sasa tutabaki kasikazini tu maana kanda ya ziwa ndo kwa heri hivyo. aitheee malitha hebu niongesee kitochi ingine hapo!
 
Back
Top Bottom