Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!
A president by accident!
 
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) walikua malaika wake!

Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.

Iwapo sisi wa JF tulishajua kwamba hao uliowataja watafanya hivyo walivyofanya CC kabla hata ya kikao. Vipi kwa raisi wa nchi wenye watu wa kunusa kila sehemu???
 
Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!

Nakubalianana wewe kwamba magufuli ni mtu makini, lakini wasiwasi unakuja kwenye mipango binafsi ya mtu kama mtu yani kama akipata nafasi ya kuwa rais, kunauwezekano wa huyu Mzee kuongoza kwa matakwa na maelekezo ya chama chake na sio utashi wake binafsi na hapo ndipo tutakapoona kwamba hakuna jipya.
 
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :

Mhe. John Magufulu 87%,

Balozi Amina Ali 10% na

Dk. Asha Migiro 3%

attachment.php

attachment.php

2.4 ni sawa na 2%, sio 3%.

10.5 ni sawa na 11%, sio 10%.

Hesabu za darasa la tano hizi jamani tulifundishwa, mbona kizazi hiki ni innumerate and illiterate ????

Migiro amepata 2%!
 
Awe Nahodha. Namkubali sana huyu.
Sasa unamkubali Nahodha kwa utendaji wake wa kazi, unadhani kuna kazi gani kubwa anayofanya VP?

Kazi kubwa ya VP ni kufungua semina na warsha mbalimbali.

Hivi ni mtanzania gani anayeweza kushindwa kubeba mkasi na kutembea sehemu mbalimbali nchini na kuwa unakata utepe kwa ajili ya kufungua semina na warsha pamoja na majengo?

Hata mimi na wewe hatuwezi kushindwa kufanya kazi ya kukata utepe!
 
haijalishi. magufuli ndo rais ajaye. sasa tutabaki kasikazini tu maana kanda ya ziwa ndo kwa heri hivyo. aitheee malitha hebu niongesee kitochi ingine hapo!

siasa za kanda hatutaki,wala karne hii hazisaidi taifa kwanza kanda badae
 
haijalishi. magufuli ndo rais ajaye. sasa tutabaki kasikazini tu maana kanda ya ziwa ndo kwa heri hivyo. aitheee malitha hebu niongesee kitochi ingine hapo!

Kanda ya ziwa tuliwahi kuwa na mwalimu Nyerere Rais wa kwanza alifanya nini ndani ya kanda ya ziwa?

Kanda ya ziwa tuliwahi kuwa na spika wa bunge mh.Pius Msekwa alifanya nini?

Sasa Dr Magufuli kapitishwa na chama chake Mungu akimjalia akapasua mawimbi na upepo wa kisulisuli wa UKAWA huwenda atakuwa Rais wa JMT.

je? Atafanya nini kanda ya ziwa?

Karibuni mnijibu!
 
For what? While he calls himself Dr. while he is not a graduate of any medical college/University

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH]Born[/TH]
[TD]23 December 1966 (age 48)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Political party[/TH]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Relations[/TH]
[TD]Ali Hassan Mwinyi (father)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Alma mater[/TH]
[TD]Marmara University(MD)
Hammersmith Hospital (PhD)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Profession[/TH]
[TD]Medical Doctor[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Religion[/TH]
[TD]Islam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Medical practice[/TH]
[TD]Muhimbili Hospital (1993-95)
HKMU (1998-2000)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Website[/TH]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Una SWALI lingine KAMANDA...?!
 
Weka Bilal hapo game iishe..

Tunataka tuwasikie ukawa sasa
 
Sijui huyu JPombe Mgufuli atafanya safari ngapi huko ughaibuni, kweli atafuata nyayo za JK?
 
Back
Top Bottom