one cater
JF-Expert Member
- Jun 10, 2014
- 368
- 153
HV alama hii % unaelewa maana yake au umekurupuka? Asha angepata 59% sio ndo angekuwa mshindi? jf great thinkers,probably
We mwenyewe ujamuelewa alichokisema hapo juu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HV alama hii % unaelewa maana yake au umekurupuka? Asha angepata 59% sio ndo angekuwa mshindi? jf great thinkers,probably
A president by accident!Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) walikua malaika wake!
Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.
Magufuli ni mtu makini lkn amepenya kwa urahisi sababu ya vita kati ya Lowasa na Membe. Lowasa alipoenguliwa Membe akaweka mkakati wa kuwapoza wafuasi wa Lowasa kwa pesa. Kwa bahati mbaya pesa ikakamatwa na hivyo kushindwa kuwafikia walengwa, Membe akakomea kwenye tano bora sababu wafuasi wa Lowasa walipiga kura za hasira ili kumzuia Membe asiende mbali. Matokeo yake si siri tena. Ambaye hakutegemea wala kutwgemewa ndiye atakaye peperusha bendera ya CCM. Kazi kws ukawa!
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :
Mhe. John Magufulu 87%,
Balozi Amina Ali 10% na
Dk. Asha Migiro 3%
![]()
![]()
A president by accident!
Sasa unamkubali Nahodha kwa utendaji wake wa kazi, unadhani kuna kazi gani kubwa anayofanya VP?Awe Nahodha. Namkubali sana huyu.
haijalishi. magufuli ndo rais ajaye. sasa tutabaki kasikazini tu maana kanda ya ziwa ndo kwa heri hivyo. aitheee malitha hebu niongesee kitochi ingine hapo!
haijalishi. magufuli ndo rais ajaye. sasa tutabaki kasikazini tu maana kanda ya ziwa ndo kwa heri hivyo. aitheee malitha hebu niongesee kitochi ingine hapo!
For what? While he calls himself Dr. while he is not a graduate of any medical college/University
mwenyekiti alitaka kumuweka braza ikashindikana,ikaja sista asha ikagoma