Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

hee yaani hata uchaguzi bado ila histori imesha andikwa, ndiye makamu wa kwanza mwanamke kweli hatari
 
Rais hana mamlaka ya kuvunja katiba ya nchi. Suala la mahakama ya kadhi kuwekewa msimamo na mku wa nchi ni ukiukwaji wa katiba. Endeleeni kuisubiri mahakama ya kadhi serikalini huenda itatokea siku atakuja rais kama JK aliyeiweka ahadi isiyotekelezeka kwenye ilani
 
Pia alihusika ktk kuuza nyumba za serikali, alafu akajiuzia na kumweka nyumba ndogo yake, ngoja tumsubiri
 
Samia Suluhu....ukimuondoa Marehemu Dr Omar Ali juma....Vice presidents wote hawana sifa yoyote ya kushika nafasi hii.
Hii inaonesha wazi hii nafasi ni boya tu kwa Wazanzibari haina maana sana.
Wanachagua bomu.
Wapo ambao wanasifa mfano
Hussein Mwinyi
Prof. Makame Mbarawa bosi wake ni January
Amina alikuwa Bora zaidi
Nahodha pia anauwezo
 
Kwa urais kwakweli Magufuli kura yangu atapata,Wapinzani wafokasi kwenye ubunge na udiwani ili watupiganie katiba ya Warioba, katiba ya Warioba ikipita maanake na mfumo huo tunaoulalamikia utakuwa umefumuliwa na kusukwa upya,hatutaweza kuipata katiba tuitakayo kama Wapinzani hawatapata Wabunge wengi wa kutosha,we don't have to take our eyes off ball man!we need to strategize!

Mkuu kama serikali ya CCM ndiyo itakayo kuwa madarakani usitegemee katiba ya Warioba kurudi. Ujue chino ya utaeala wa CCM haiwezekani kuunda tens Bunge la katiba hata kama wabunge WA Upinzani wakiwa wengi. Hatua huyo kwa mujibu wa serikali ya CCM ilishspita na kuna Kstiba pendekezwa (katiba pandikizwa) tayari. Hatua inayofuata Ni kura ya maoni.

Kama siyo serikali isiyotokana na CCM basi kitakachoweza kubadilisha katiba pandikizwa ni maoni ya wananchi kitu ambacho ni kigumu pia kutokana na mfumo ambao pia ulitumika kufikisha kea nguvu kura zilizohitajika kupitisha katiba pandikizwa kwenye Bunge la katiba. Kumbuka Kuna watu walifukuzwa kazi kwa kutumia haki Yao ya kupiga kura ya hapana. Je Magufuli na serikali yake ya CCM watakula matapishi Yao?
 
Katika hali isiyotarajiwa, majina matatu yanawapasua vichwa vigogo Nani awe mgombea Mwenza, ambao ni Shamsi Vuai Nahodha, Hussain Mwinyi na Seif Khatib, huku spika Makinda akimpendekeza Amina ili kupata kura za Zanzibar. Karume hataki jina la Nahodha na Dr Shein anaomba Bilal aendelee ili kupunguza uzito wa kampeni Zanzibar.

Source : Mlinzi wa kiongozi mwandamizi.

Update zitakuja baada ya muafaka.
Hamna mvutano wowote JK kaishamaliza kila kitu Magufuli anapangiwa safu.

Cc; Kimweri
 
Last edited by a moderator:
Is It Necesary For A Dr To Graduate Either Of The Medical College/ University?.

A must not an option! No informal education in Health Industry! No human body to play with, they are very scarce only one minor mistake you are gone!!
 
Wewe ndo mwenye udini
hufurahii hata mwanamke mwenzio kuteuliwa?

Magufuli ndo kamuona huyu anafaaa
we ulitakaje?

Hajamwona, anabalance udini. Waislam wana fujo za kidini haswa. Afadhali amempa muisalm maana jinsi ninavyowajua hata ukiwapa kila cheo bado watalia na kusema wanaonewa. Wao ni kuenewa tu mpaka kaburini
 
cha msingi na kusimamisha dola ya kiislamu hata hyo mahakama ya kadhi ikpatkana haitafata sheria zote.
 
Hajamwona, anabalance udini. Waislam wana fujo za kidini haswa. Afadhali amempa muisalm maana jinsi ninavyowajua hata ukiwapa kila cheo bado watalia na kusema wanaonewa. Wao ni kuenewa tu mpaka kaburini
Huu ni ukweli mchungu..
 
alivyochaguliwa kikwete, kila mtu aliona amepona na maisha yatakuwa raha mustarehe lkn kilichotokea miaka 10 baadae kila mtu kashuhudia

tusiendeshwe kwa hisia kali na mihemko, watu hubadilika. ni kuomba Mungu yale tunayotarajia kutoka kwake kweli ayatimize.

The beginner is not the winner but the finisher.
 
Back
Top Bottom