Kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.
Kwanza Tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI.
Najua
Join Date : 18th September 2015
Posts : 102
Rep Power : 325
Likes Received
50
Likes Given
23
Lakini hoja yako ingekuwa na maana kama ungetoa mfano wa maraisi wanasayansi walivyofanya kazi kubwa ya kujenga nchi zao. Hiyo ingesaidia sana. Hata kama ungeangalia Viongozi wa Marekani na ungefanya utafaiti kidogo angalau tungekuwa tumepata mifano ya wazi. Halfau je unazungumzia sayansi ya namna gani, hUYU WENU NI MTU aliyesomea somo la Chemistry na ukumbuke naye alikuwa mwalimu wa Masomo ya sayansi hasa Somo la Chemistry. Je kwa kujua somo hilo ndiyo itatusaidia kama nchi kusonga mbele. Kwanini usiseme ncho hii inatakiw iapate mtu aliyesomea masomo yanayohusu maendeleo ya watu. Masters in Human Development. Si Ndiyo shida yetu kubwa. kWA WENZETU WANASAYSNSI WAnashinda NASA. Na sehemu zingine. Kama huyu anatakiwa ashinde maabara kuchanganya na kubuni kemikali mbalimbali kwa ajili ya viwanda.Akiwezeshwa kama mtaalamu wa Chemistry kuanzisha maabara mabalimbali nchini anaweza kusaidia sana eneo la utafiti wa chemicals kwa ajili ya viwanda na kuuza nje ya nchi. Na huko ndipo kunmfaa Dr Pombe. Ikulu ni Ngoyai. Asante. Pole pia kwa ugeni wako kwani hoja zako zinaonyesha wazi.