kichunachangu
Member
- Oct 17, 2015
- 97
- 20
are you a teacher?
I'm a tour guide but not a teacher
anhaa kumbe you don care, bas inawezekana unaishi bila kucare pia
na Magufuli akishakabidhiwa dola ataanza na mafisadi na wa kwanza ni LOWASSA akifuatiwa na wengine wote wapo chadema nikisema ukawa nitapoteza ladha coz chadema wamewanunua NLD, CUF na NCCR ndo mana hawana sauti.....
Unampigia kampeni mbona umechelewa sana?
are you a teacher?
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
Hamjuwi Lowassa vizuri. Anafikiri yuko peke yake katika ufisadi. Jamaa ana mtandao mpana balaa. Halafu ni hatari kuwa na rais fisadi maana tazaa mafisadi wengine. UKiwa na rais asiye fisadi atadhibiti ufisadi hilo ndo la muhimu zaidi.what do you know abt lowassa