Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

na Magufuli akishakabidhiwa dola ataanza na mafisadi na wa kwanza ni LOWASSA akifuatiwa na wengine wote wapo chadema nikisema ukawa nitapoteza ladha coz chadema wamewanunua NLD, CUF na NCCR ndo mana hawana sauti.....
 
Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli anaongoza katika kukubalika na wananchi walio wengi hivyo kumpa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi huo unotarajiwa kufanyika oktoba 25 mwaka huu.
 
Tangu hapo awali ndugu Edward Ngoyai Lowasa hajawahi kukaa katika wizara kama waziri tangu 1995 zaidi ya miaka mitano ukifuatilia kwa umakini alishikilia wizara kwa muda usiopungua miaka minne au mitatu na sio zaidi ya hapo mfano nafasi ya Waziri mkuu. Nilijaribu kuulizia kwa wanaomfahamu huyu bwana wakasema kila wizara aliyoongoza hakuna ufasi wowote zaidi ya kuchochea migogoro pale alipoona masilahi yake binafsi yanakingwa.
Kimsingi huyu bwana zaidi ya miaka 20 aliyokuwa mbunge hakuna kilichofanyika jimboni kwake zaidi ya kusababisha migogoro ya Ardhi na kusababisha kuhama kwa kabila la kimaasi kuelekea ktk mikoa ya morogoro na manyara kutokana na ukosefu wa Ardhi huko munduli.
Ndugu zangu huyu bwana hafahi kuwa mkuu wa nchi na amri jeshi mkuu kwani sote tunakumbuka uliokuwa mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na nchi ya Malawi yeye akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama alitoa kauli iliyokuwa ya kiutata kuonesha namna gani taifa kuwa lipo tayari kupigana huku akijua mwenye jukumi la kutangaza hali ya hatari ni amri jeshi mkuu kwa mjibu wa sheria,kanuni na taratibu za nchi. Na ikumbukwe ni kauli hiyo iliyopelekea vyombo vya ulinzi na usalama vya Taifa kukemea kauli hiyo na kusisitiza kuwa kauli kama hizo hazifahi kwa ustawi wa Taifa letu. Sote tumkatae huyu bwana piga kura kwa mtu sahihi na siyo huyu Lowasa
 
anhaa kumbe you don care, bas inawezekana unaishi bila kucare pia

na Magufuli akishakabidhiwa dola ataanza na mafisadi na wa kwanza ni LOWASSA akifuatiwa na wengine wote wapo chadema nikisema ukawa nitapoteza ladha coz chadema wamewanunua NLD, CUF na NCCR ndo mana hawana sauti.....

Let us wait and see, we had such long but now we have hour's to reach changes
 
hakika anatosha na kwa jitihada zake za kuleta maendeleo anafaa na atatuvusha mpaka hatua ya juu kabisa ya kimaendeleo
 
hakika mgombea huyu anatufaa kwa sababu amekuwa mfano wa kuigwa kwa viongozi wa serikali ytu
 
Kashapita hana mpinzani Magufuli,mchapa kazi,mzalendo, na ni mtu wa watu,hatuna haja na mwingine,huyu ndiye Kiongozi wetu.wengine hatuwahitaji
 
hata mh. mbowe amelithibitisha hlo kutokana na speed aliyonayo Magufuli kwenye kuzinadi sera zake, tingatinga linatumia hadi lisaa kuongea while mgombea wa ukawa anaongea kwa dk3 nahazizidi.......
 
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
what do you know abt lowassa
Hamjuwi Lowassa vizuri. Anafikiri yuko peke yake katika ufisadi. Jamaa ana mtandao mpana balaa. Halafu ni hatari kuwa na rais fisadi maana tazaa mafisadi wengine. UKiwa na rais asiye fisadi atadhibiti ufisadi hilo ndo la muhimu zaidi.
 
Back
Top Bottom