Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Kuna umuhimu wa kuwaandalia mdahalo wagombea urais wote.
 
Mkuu naona umelipwa kiasi kikubwa thread ndefu sana pole mkuu umasikini tabu sana
 
Hata awe mzuri vipi mfumo wa ccm Hata umlete malaika, akirudi lazima aitwe ibilisi!

"Jimmy", utakuwa muungwana ukitueleza ubovu wa mfumo wa CCM na ubora wa mifumo ya vyama vingine ili tuwe makini kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi tarehe 25/19/2015.
 
30>>>>>20 ukifanya alanlysis utaona nani ni kafanya nn wkt wa utumish wke serkalini....
Vote for JPM
 
Ni kweli atakuwa mtiifu kwao maana1.Kikwete ni fisadi wa Richmond2.Mkapa mzee wa EPA na anamjua Balali3.Mwinyi hajielewi kabisa na......
Jumlisha na CCM mfumo na philosophy ya ufisadi..sasa magufuli atavyonja msingi ulimshikilia na wadhamini wake.
 
Magufuli anaambiw amtiifu kwa watu wachafu,km Mkapa,Mwinyi, na JK ..na chama chake CCM.
 
HAKUNA MGOMBEA BORA ANAEMZIDI MAGUFULI KWA KILA KITU:

Tanzania mwaka huu tunawagombea 8 wa nafasi ya urais lakini katika hao 8 anayefaa kupeperusha bendera ni Magufuli pekee huyu ameonyesha uwezo mkubwa wa kiutendaji akiwa Serikalini kwa wizara tofauti hao wengine wamefanya nini?

HAPA KAZI TU
 
[h=2][/h]
Kuna kila dalili Dr John Pombe Magufuli KUPATA USHINDI WA KISHINDO,hii ikiwa ni kutokana na namna watu wanavyokubaliana na utendaji wake lakini pia namna atakavyokabiliana na mafisadi papa wa nchi yetu.
Wasomi na wanaharakati wengi wamekuwa wakijitokeza hadharani kumpongeza Dr Magufuli kwa mikakati yake mizuri. Hata hivo wapo wanaodai pia kuna uwezekano mapapa hao wakatorokea kusikojulikana mara baada ya Dr MAGUFULI KUAPISHWA RASMI KAMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

HONGERA SANA DR MAGUFULI.​
 


Ajiandae kurudi kwao
 
Mikakati mizuri ya kutengeneza mahakama ya mafisadi?

Mikakti ya kungoja UKaWA waseme naye anakili?


MAFISADI PAPA WANAOUNDIWA NA MAHAKAMA NI KINA NANI? NAOMBA UJIBU HILI TU. VINGINEVYO NITAWAAMBIA MODES WAFUTE HUU UTUMBO, AU USHITAKIWE KWA UZUSHI!.
 
Haezi kuufuta coz huo ujumbe hauna shda yoyote . Labda waufute huo uliouweka wewe mana unaonekana unachochea vurugu
 
Hahhahhaaaa hivi WANAUKAWA kwann kila mada inayotolewa kuonesha ushindi wa Magufuli mnachanganikiwa?..fungueni akili zenu wacha mikumboo na ushabiki usiyo na maana!!!
 
yaan ni kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa,akil hayana kabisa,na nimegundua weng ni vijana wanaoshinda cku nzima wakichat na cm.upeo mdogo kabisa.ni bora kuwa mtu mwenye kupembua vi2,eti team lowasa!tutaona baada ya uchaguz mtaishia wap na hyo team lowasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…