[h=2][/h]
Kuna kila dalili Dr John Pombe Magufuli KUPATA USHINDI WA KISHINDO,hii ikiwa ni kutokana na namna watu wanavyokubaliana na utendaji wake lakini pia namna atakavyokabiliana na mafisadi papa wa nchi yetu.
Wasomi na wanaharakati wengi wamekuwa wakijitokeza hadharani kumpongeza Dr Magufuli kwa mikakati yake mizuri. Hata hivo wapo wanaodai pia kuna uwezekano mapapa hao wakatorokea kusikojulikana mara baada ya Dr MAGUFULI KUAPISHWA RASMI KAMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
HONGERA SANA DR MAGUFULI.
Eehe Mtanzania ,eehe Mtanzania..wa sasa,badala ya kuangalia mambo ya msingi tunabaki na Ushabiki uliokosa kikomo.Lini tutabadilika na kujitambua sisi.??Mtanzania majanga yote haya ya Nchi hii yenye utajiri wa kila namna ,lakini mpaka leo hii Tanzania ni Moja ya Nchi Maskini,,sanaa,.tuache ushabiki ,kujipendekeza pendekeza,udaku,ngonjera,chuki,ushupalivu wa mambo tusiyajua,.Siamini mimi Mtanzania wa sasa ,anakaa chini kuhoji Ufisadi badala ya Kuhoji kwanini Hatuna Umeme katika karne hii ya Hi-tech.,kwanini Maji ya shida?,kwanini Watu Hospitalini huduma mbovu?,Wamama wajawazito uteseka ,wagonjwa kufa kwa uzembe,,kwanini tunakaa foleni masaa zaidi ya Manne,kutoka kijisehemu cha 7km tuu,??,kwanini barabara ujengwa leo miezi kadhaa ijayo hiyo barabara ubomoka??,,na kero nyingi tuu za kuhoji.Sio tunaropoka heti Fisadi,,Sasa hupo tayari kukaa na kero zote kisa mtu fulani Fisadi..tubadilike..tusome vitu tuvielewe..Uswahili umetujaa sana..sisi Watanzani.Uchaguzi ukiishi tunaanza kulalamika lalamika hovyo.oohoo serikali hii bwana,,daa maji ya shida,doo umeme wameshakata..,jamani hii foleni..malalamiko kibaoo.,Mtanzania punguza sifa za udaku chukua maamuzi sahihi..tulipowekeza kwenye biashara miaka 50+ hakuna faida,nafikiri kwa sasa Watanzania tuwekeze sehemu nyingine.,25october Lowasa Ukawa tuu.