Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
 
CCM yupi Mwenye afadhali kwa Ufisadi? nini Tofauti ya Magufuli na Mkapa? Chagua Lowassa ... Usidanganyike maana CCM ni kundi la Vibaka ambapo ukiibiwa na wao wanapiga makelele ya Mwizi wakitaka mwenye mali aonekane ndo kibaka ... CCM must go !
 
dr. Magufuli the best choice of tanzanians.
you are wrong:
dr. Magufuli the best choice of wasukuma
 
Kwanza tuingize chama kimpya madarakani kitakachotuletea mabadiliko ya kikatiba itakayopunguza madaraka kwa rais na kuacha kumfanya rais mungu mtu, itakayokidhi maitaji na malengo ya kada zote na pia itakayo leta uwekedi mzuri kimatumizi hasa rasilimali watu na rasilimali Mali Kevoo_keroo
 
Last edited by a moderator:
CCM yupi Mwenye afadhali kwa Ufisadi? nini Tofauti ya Magufuli na Mkapa? Chagua Lowassa ... Usidanganyike maana CCM ni kundi la Vibaka ambapo ukiibiwa na wao wanapiga makelele ya Mwizi wakitaka mwenye mali aonekane ndo kibaka ... CCM must go !

magufuli labda azushiwe tu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, ni muadilifu, si fisadi, hapo ulipo hujui ccm wamegutuka nn na wakafanya maamuzi gani dodoma , kwa style ya vyama hv hasa chadema ambao juzi walisema lowassa jizi halafu leo wanamnadi, halafu unawashabikia? hivi unaelewa unachokifanya?
 
mabadiliko yapi? kwa vigezo vipi? fafanua usikimbie hapa

Utawala mpya. Elimu bora na bure msingi hadi chuo kikuu. Marufuku watoto kukaa chini darasani. Mwiko kinamama kulazwa chini au kulala wawili wawili wanapojifungua au vituo vya matibabu na hosptali za serikali kukosa dawa muhimu nk.
 
Kwanza tuingize chama kimpya madarakani kitakachotuletea mabadiliko ya kikatiba itakayopunguza madaraka kwa rais na kuacha kumfanya rais mungu mtu, itakayokidhi maitaji na malengo ya kada zote na pia itakayo leta uwekedi mzuri kimatumizi hasa rasilimali watu na rasilimali Mali Kevoo_keroo

tatizo lako ni kutaka kumpa mbu kazi ya kutibu malaria, hayo unayoyawish na mtu unayetegemea afanye hvyo, hatoweza kwa uhalisia wa yeye ni nani. wanaomsapoti nyuma yake kipindi hiki cha kampeni kina rostam na karamagi, unajua alichowaahidi baada ya uchaguzi kama akishinda?
 
Last edited by a moderator:
Utawala mpya. Elimu bora na bure msingi hadi chuo kikuu. Marufuku watoto kukaa chini darasani. Mwiko kinamama kulazwa chini au kulala wawili wawili wanapojifungua au vituo vya matibabu na hosptali za serikali kukosa dawa muhimu nk.

kwa akili zako timamu unaweza ukaridhika elimu bure hadi chuo? halafu eti ndani ya siku 50 viwanda vilivyokufa vyote anavifufua hahahaha, dah kweli wajinga ndio waliwao, wakati yeye binafsi aliua reli . mkakati utendaji wa utekelezaji wa hzo ahadi tamu upoje?
 
We don't care what he has promised rostam and other people here in our country or outside the scenery what we want is changes buddy and what we believe also is that after uprooting the existing party we shall be able to re amend our Constitution to be of success to the majority rather than minority cham enjoy your time
 
anhaa kumbe you don care, bas inawezekana unaishi bila kucare pia
 
We don't care what he has promised rostam and other people here in our country or outside the scenery what we want is changes buddy and what we believe also is that after uprooting the existing party we shall be able to re amend our Constitution to be of success to the majority rather than minority cham enjoy your time

are you a teacher?
 
Back
Top Bottom