The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
weka tiki yako isiyozidi kibox kwa magufuli, kulikomboa taifa lako
Sahau kuhusu ushindi kwa magufuli hapa ni mabadiliko tu
CCM yupi Mwenye afadhali kwa Ufisadi? nini Tofauti ya Magufuli na Mkapa? Chagua Lowassa ... Usidanganyike maana CCM ni kundi la Vibaka ambapo ukiibiwa na wao wanapiga makelele ya Mwizi wakitaka mwenye mali aonekane ndo kibaka ... CCM must go !
mabadiliko yapi? kwa vigezo vipi? fafanua usikimbie hapa
Kwanza tuingize chama kimpya madarakani kitakachotuletea mabadiliko ya kikatiba itakayopunguza madaraka kwa rais na kuacha kumfanya rais mungu mtu, itakayokidhi maitaji na malengo ya kada zote na pia itakayo leta uwekedi mzuri kimatumizi hasa rasilimali watu na rasilimali Mali Kevoo_keroo
Utawala mpya. Elimu bora na bure msingi hadi chuo kikuu. Marufuku watoto kukaa chini darasani. Mwiko kinamama kulazwa chini au kulala wawili wawili wanapojifungua au vituo vya matibabu na hosptali za serikali kukosa dawa muhimu nk.
Chama gan kna loop hole ya kufanyia ufsadi???
jibu mara moja swali langu nlilouliza hapo juu
We don't care what he has promised rostam and other people here in our country or outside the scenery what we want is changes buddy and what we believe also is that after uprooting the existing party we shall be able to re amend our Constitution to be of success to the majority rather than minority cham enjoy your time