makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
Magufuli ni Kiongozi wa mfano na ni Kiongozi wetu wa awamu ya tano,hatuna haja na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka tiki yako isiyozidi kibox kwa magufuli, kulikomboa taifa lako
Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli anaongoza katika kukubalika na wananchi walio wengi hivyo kumpa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi huo unotarajiwa kufanyika oktoba 25 mwaka huu.
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...
Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..
Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...
Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,
Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..
Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..
Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.
The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..
DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
I have been born like other human race my dear
Umelogwa Magufuli na CCM ni MAFISADI PAPA
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
Hamjuwi Lowassa vizuri. Anafikiri yuko peke yake katika ufisadi. Jamaa ana mtandao mpana balaa. Halafu ni hatari kuwa na rais fisadi maana tazaa mafisadi wengine. UKiwa na rais asiye fisadi atadhibiti ufisadi hilo ndo la muhimu zaidi.
magufuli labda azushiwe tu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, ni muadilifu, si fisadi, hapo ulipo hujui ccm wamegutuka nn na wakafanya maamuzi gani dodoma , kwa style ya vyama hv hasa chadema ambao juzi walisema lowassa jizi halafu leo wanamnadi, halafu unawashabikia? hivi unaelewa unachokifanya?
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi
fisadi muuza nyumba za serikali huyooo .......kamuuzia nduguye nyumba kwa bei ya kutupwa
Kaka hujui hata kufananisha raisi na mtu wa kawaida? Hivi kweli huyo magufuli anavigezo gani mbelw ya lowassa?acha utani ww mlimkata jina sasa subirini na nyie kukatwa