Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Magufuli ni Kiongozi wa mfano na ni Kiongozi wetu wa awamu ya tano,hatuna haja na wengine
 
weka tiki yako isiyozidi kibox kwa magufuli, kulikomboa taifa lako

MAGUFULI -
1. Kauza nyumba za Serikali hadi kwa michepuko na ndugu zake wasio watumishi wa Serikali na kulifanya Taifa kupata hasara kwa baadhi ya watumishi wake wa ngazi za juu kuishi mahotelini kwa gharama kubwa
2. Amekamata meri ya samaki pasipo kutumia akili kwa kukurupuka na kulisababishia hasara Taifa kwa kutakiwa kulipa mabillion baada ya kushindwa kesi.

3. Wizara anayoiongoza magufuli imepoteza Tsh. Billion 262 ambazo yeye kama waziri alishindwa kuzitolea ufafanuzi Bungeni hivyo ni wazi ndio zinazotumika sasa katika kampeni.
4. Akiwa kama waziri wa Ujenzi amesimamia ujenzi wa barabara ulio chini ya kiwango huku gharama zilizotumika ni kubwa, bila kusahau Taifa kupata Hasara ya kulipa riba kwa wakandarasi kwa wizara yake kuchelewa kuwalipa hao wakandarasi.

LOWASSA.
1. Anatuhumiwa na Kashifa ya RICHMOND ambayo taifa liliingia mkataba na TANNESCO wanalipa Million 152 kila siku,
-RICHMOND ilizaliwa ikazaa DOWANS na DOWANS naye amemzaa SYMBION POWER na kwa kumbukumbu zangu SYMBION POWER alipokuja Obama aliizindua na kuisifia kwelikweli.
- Ebu tujiulize hii SYMBION POWER ni ya nani? na ni nani anayepoea hizo Million 152 kwa sasa kutoka TANNESCO?

Naomba mwenye ufafanuzi wa Lowassa kaliingizia taifa hasara ya Tsh. ngapi aweke humu tusiishie kuongea tu huku kiuhalisia hatuna takwimu zozote tunaishia porojo, kwa Magufuli nimeweka wazi nini alicholipotezea taifa hili.
 
Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli anaongoza katika kukubalika na wananchi walio wengi hivyo kumpa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi huo unotarajiwa kufanyika oktoba 25 mwaka huu.

Mimi simkubali na tuko wengi tu. Sasa sijui wananchi hao unaowazungumzia hapa ni wa nchi gani
 
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...

Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..

Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...

Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,

Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..

Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..

Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.

The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..

DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.

Hizo ni kashfa katika kila Wizara alizozisimamia huyo magufuli unaye msifia, tunaomba utuwekee na kashfa za Lowassa bila kusahau na takwimu.

MAGUFULI -
1. Kauza nyumba za Serikali hadi kwa michepuko na ndugu zake wasio watumishi wa Serikali na kulifanya Taifa kupata hasara kwa baadhi ya watumishi wake wa ngazi za juu kuishi mahotelini kwa gharama kubwa
2. Amekamata meri ya samaki pasipo kutumia akili kwa kukurupuka na kulisababishia hasara Taifa kwa kutakiwa kulipa mabillion baada ya kushindwa kesi.

3. Wizara anayoiongoza magufuli imepoteza Tsh. Billion 262 ambazo yeye kama waziri alishindwa kuzitolea ufafanuzi Bungeni hivyo ni wazi ndio zinazotumika sasa katika kampeni.
4. Akiwa kama waziri wa Ujenzi amesimamia ujenzi wa barabara ulio chini ya kiwango huku gharama zilizotumika ni kubwa, bila kusahau Taifa kupata Hasara ya kulipa riba kwa wakandarasi kwa wizara yake kuchelewa kuwalipa hao wakandarasi.
 
I have been born like other human race my dear



i don get any idea clear about change. what change? for what purpose? what stategies are going to be used to bring change? and who will bring that chage?

i don think u ever asked yourself such a question , especially after mbowe received 10 bil and chadema announced the same man they preached the whole country that is a corrupt, a grand corrupt with evidences.
 
Ni Ujinga unaouangamiza nchi kufikiri ufisadi ni mtu moja huku ukisahau chama ambacho hata hakina uthubutu wa kumnyoshea kidole fisadi

the leader is what matters, kama atakaa mwenyekiti mwenye misimamo dhidi ya ufisadi , mfumo mzima wa uongozi utafanana na mtazamo wake, kama unabisha tetea kwa hoja
 
Hamjuwi Lowassa vizuri. Anafikiri yuko peke yake katika ufisadi. Jamaa ana mtandao mpana balaa. Halafu ni hatari kuwa na rais fisadi maana tazaa mafisadi wengine. UKiwa na rais asiye fisadi atadhibiti ufisadi hilo ndo la muhimu zaidi.

Sina sababu ya kumjua lowassa kwani hii nchi naijua vizuri sana kama angetokea kiongozi mwenye haiba na hii nchi watu wangewa na maisha mazuri sana kwa sababu ya utajiri wake kama wiki sita zilizopita nilikua kule nchini Argentina kwenye jiji la Buena Aire nikiwa pia natokea Saint Louis Marekani watu wote wa kitanzania waliniambia wanashindwa kuja kukaa Tanzania kwa sababu ya umasikini na mfumo wa kiutawala uliopo nchini kwetu
 
Wewe Mwehu? Nyumba za Serikali alizomgawia kimada wake Kabula ilikuwa ya mamako? Barabara iliyokuwa ipite Biharamulo akaipitisha Chato kwa misingi ipi? Barabara zenye kubonyea Twende Kilioni umewahi kuiona wapi? Deal za Kwenye Mizani nani asie vijua? deal za Vivuko? CAG report yake inayoonyesha Ufisadi wa kutisha hukuiona? Riba ya Trillion na zaidi wanayodai wakandarasi? Kuwatimua wakandarasi ambao wameshalipwa fedha ni ni ujanja au Ukanjanja? Kukurupuka kukamata Meli ya kichina Bahari Kuu kwa Maslahi ya Makaburu wa South Africa wenye kuvua Bahari yetu si Ufisadi? ... Acha Upimbi ... Chagua Lowassa kwa Mabadiliko ya Kweli Tanzania ...
magufuli labda azushiwe tu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, ni muadilifu, si fisadi, hapo ulipo hujui ccm wamegutuka nn na wakafanya maamuzi gani dodoma , kwa style ya vyama hv hasa chadema ambao juzi walisema lowassa jizi halafu leo wanamnadi, halafu unawashabikia? hivi unaelewa unachokifanya?
 
Magufuli is a manager and not a leader. But this can be rectified by some sort of leadership training programme.
He is a semi clean person(not clean) in the midst of garbage bin if not a toilet pit( CCM).

If he forms his own party and contest for presidency then probably he could make a good contestant in 2020.

As of now, ni yale yale!!!

Lowassa is a billion times better choice.
 
Kaka hujui hata kufananisha raisi na mtu wa kawaida? Hivi kweli huyo magufuli anavigezo gani mbelw ya lowassa?acha utani ww mlimkata jina sasa subirini na nyie kukatwa

Sawalo ndo atakatwa kwa mara ya tatu na wananchi, na mara ya nne maana hataingia peponi!
 
  1. Dr Magufuli ana historia ya kutokupendelea.
  2. Na ndiyo maana tunasema tunahitaji mtu ambaye atakuwa rais wa watanzania bila kujali kujuana.
  3. Tunahitaji rais atakayesema wewe na wewe umekula rushwa nakufukuza kazi.
  4. Tunahitaji rais ambaye akiteua baraza la mawaziri wateule wasifanye sherehe bali wafanye vikao vya kifamilia ili aone kama anaweza au hawezi.
  5. Hakuna mwingine atakayeyaweza hayo majukumu zaidi ya Dr Magufuli.
  6. Hana kujuana wala huwa hapepesi macho kwenye mambo ya kipumbavu pumbavu.

Kura yangu lazaima nimpe Dr Magufuli 25/10 kwa sababu zaidi ya 95% ya watanzania wanamkubali
 
Back
Top Bottom