Dr. Joyce Ndalichako, Katibu Mtendaji wa NECTA! "It's Time To Go!.

Dr. Joyce Ndalichako, Katibu Mtendaji wa NECTA! "It's Time To Go!.

Wanabodi,

Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio NECTA, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.

Wengi waliangalia hili kwa jicho la juu juu juu tuu bila kujiuliza wajinga halisi ni kina nani na long impact ya ukomoaji huu wa NECTA utalifikisha wapi taifa letu in a long run baada ya matokeo hayo kujenga matabaka ya wenye nacho na wasionacho!.

Kwa sio jua Wengi wa waliofaulu ni watoto wa wenye nacho ambao wana uwezo wa kuwalipia watoto wao shule bora, na wengi wa waliofeli ni watoto wa wa wasionacho hivyo Mama Ndalichako kupitia NECTA anawanyanganya hata hicho kidogo walichonacho, unategemea mini after a long time ?!.

I think it's time up for Mama, Dr. Joyce Ndalichako to go!, not withstanding madhaifu mengine yote wenye mfumo wetu wa elimu.

Pasco.

Uthibitisho ni huu

Hii nimeikuta mahali nikaona niilete na humu ili wale wote wasio niealewa angalau waanze kuelewa kuwa matokeo haya sio bure, iko namna!.

Pasco.

NECTA Wanga.....taifa wanalimaliza...livunjwe......Ponda masikini alijisemea akaonekana mzushi...leo tunayaona
 
Kwa kweli great thinkers tumeanza kupote hw does Dr. Ndalichako come in? Mtu ammemchora messi na zombi dr.ndalichako amwekee marks i dont see any place ya kumlaum ndalichako je maandizi ya form 4 yannafanywa
Na Neccta?;
 
mleta mada ni kilaza sana...ahamie fes buk ndo kunamfaa sio JF. ELIMU HAITAKI SIASA. Ndalichako na necta waendelee kufuata kanuni wasiyumbishwe na mambumbu kama akina pasco...over.
 
Mwaka juzi, binti yangu last but one, aliomba kujiunga St. Marian Girls nini nikamgomea wife akawasha moto, hadi kumpeleka kufanya usahili, matokeo alikosa, alilia sana baada ya kuambia cut off point ni makisi 150/200. Akamthibitishia mama yake kuwa amedhulumiwa, hawezi kukosa average ya 75 kwa mitihani mitatu waliofanya!, binti analia tuu, hatimaye nikakubali, mimi, binti na mama, hao Bagamoyo kwa mkuu wa shule, tuki demand kuona matokeo halisi ya mwanetu!.

Kwanza tulikataliwa, nilipoeleza sababu nyeti nilizozisikia kuhusu selection ya St. Marian, Mkuu wa shule akanikubalia, ikaitishwa file, narking scheme na pepa za mwanangu, wamefanya pepa 4. hesabu, sayansi, Kiingereza na maarifa!. Kila pepa maswali 50 na kila swali makisi 1. Cut of point ni makisi 150/200. Binti kapiga 42, 32, 38 na 36. Total ni zaidi ya 150/200 hivyo ni over and above ile cut off point yao, kuuliza sasa kwa nini hakuchaguliwa, nikaletewa hadithi!.

Kufuatia matokeo haya mabaya, wale wazazi tunao waaminia wenetu, hatuwezi kukubali hili likapita hivi hivi tuu!.
Mimi ni kama Tomaso, sikubali mpaka nione pepa moja tuu, ya hesanu ya kijana wangu!. Kiukweli, pamoja na mengine yote, " The games that NECTA plays on poor people!, its very dangerous gamea!".
Pasco.
Inawezekana kijana wako amerithi toka kwako 'ukali' wa hisabati...

Toka lini 42 + 32 + 38 + 36 ikawa zaidi ya 150/200?...

Huu ni ukilaza uliopitiliza.....

Usije kushangaa utakapo appeal unaambiwa kijana wako ndo kamchora ZOMBI....

Tatizo sio NECTA wala Joyce.....

Tatizo ni mfumo mbovu wa elimu uliopo nchini....Mfumo ambao unahusisha mitaala, walimu, wazazi, wanafunzi na nyenzo za kufundishia...
 
Ndalichako hana kesi ya kujibu.Ametekeleza wajibu wake vizuri.kama wadau halisi wa Elimu wapo humu ndani nadhani watakubaliana na mimi kuwa sera ya elimu ndiyo imepelekea mitaala mibovu iliyotufikisha hapa.Hivyo NECTA ni end product ambayo kwa sasa imetoa reflection ya sera mbovu iliyopelekea mitaala mibovu ambayo matokeo yake tunayaona sasa kwenye mfumo mzima wa elimu,siyo necta tu,mumeangalia bodi zingine za mitihani na vyuo vikuu?
Tusiwe na cheap mind tukaingia kubadilisha Mkurugenzi tukasahau chanzo kikuu ambao ni mfumo mzima wa elimu,hatuta eleweka kwa vizazi vijavyo siku za usoni.
Naomba kuwasilisha.
 
Watu wengi huwa wanalalamikia maabara za hospitali mbalimbali pale wanapoambiwa, mfano, hawana vijidudu wa malaria. Malalamiko yao huwa hospitali husika haina maabara, au maabara husika hawajui kupima, nk. Shida tu ni kwamba mtu anaumwa na anachotaka kusikia ni kuwa ana vijidudu wa malari! Hii inaonyesha kuwa Watanzania wengi tunapenda kudanganywa!

NECTA wameshasema watoto wetu walienda shule kwa muda wa miaka minne na hawajarudi na elimu tarajiwa, wamerudi na matusi na wengine ufundi wa kuchora akina Mesi! Je, tunataka tudanganywe kuwa wamerudi na elimu? Halafu? Jamani swala hili ni nyeti mno hasa ukizingatia kuwa hawa ndio wakabidhiwa nchi watarajiwa. Waliosoma enzi hizo za Nyerere ndo tumewaona waki-sign mikataba ya hovyo/mibovu, ni wezi/mafisadi, n.k. Wabovu hawa wa leo wakikabidhiwa nchi itakuwaje?!

Mungu wetu utusaidie na usituache kwani watu wako tunaangamia na mamlaka zilizopo zinatuaminisha kuwa hazikutoka kwako maana zimekosa maarifa!
 
Tunaogopa mshindo wa bunduki badala ya kuogopa mlenga shabaha, mfyatuaji na risasi yenyewe.

Mitaala hakuna.
Vitabu hakuna
walimu hakuna
Walimu hawalipwi mishahara.
Wakilipwa mishahara makato ya mwenge na mshikamano kibao.
Waziri wa elimu ndiye kinara wa kuiba fedha ya elimu Tanzania.

Anayetupiwa lawama Baraza la mitihani.

Generali Ulimwengu alisha wahi kuandika kwamba,
katika ngoma ya kujimwanya mwaya kama mdundiko,
mtu mmoja akijamba inavumilika
Kila mcheza ngoma akijamba ngoma haichezeki tena.

Hali kieleimu haiwi nzuri hata kidogo, kwa mwendo huu mwaka 2015 wanafunzi 90% watapata Zero division 1 watakuwa 0.1%
Hapo nina uhakika kabisa kwamba nape na Lizi wana uhakika wa kuwa Rais na Waziri mkuu kwa ukali wa elimu na ufahamu wao.
 
wanabodi,

kwa maoni yangu, kitendo cha necta kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio necta, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.

Wengi waliangalia hili kwa jicho la juu juu juu tuu bila kujiuliza wajinga halisi ni kina nani na long impact ya ukomoaji huu wa necta utalifikisha wapi taifa letu in a long run baada ya matokeo hayo kujenga matabaka ya wenye nacho na wasionacho!.

Kwa sio jua wengi wa waliofaulu ni watoto wa wenye nacho ambao wana uwezo wa kuwalipia watoto wao shule bora, na wengi wa waliofeli ni watoto wa wa wasionacho hivyo mama ndalichako kupitia necta anawanyanganya hata hicho kidogo walichonacho, unategemea mini after a long time ?!.

I think it's time up for mama, dr. Joyce ndalichako to go!, not withstanding madhaifu mengine yote wenye mfumo wetu wa elimu.

Pasco.

Uthibitisho ni huu

hii nimeikuta mahali nikaona niilete na humu ili wale wote wasio niealewa angalau waanze kuelewa kuwa matokeo haya sio bure, iko namna!.

Pasco.
kama mtoto analelewa na wizara ya elimu na ndalichako kazi yake ni kuandaa mitihani na kusimamia ufanyaji wake ikiwa ni pamoja na kudhibiti uvujaji wake. Kosa lake lipi .?? Hakuna kuremba hapa . Tatizo watu wanafikiria suala la kugawana akili . Kila mmoja anazake na hakuna kugawana. Mama kaza buti watu wamezoea kuiba paper ili wapate sifa wasizostahili. Lawama zote ziiendee wizara ya elimu inaandaa watoto nusunusu . Hicho ndo kipondo cha wizara
 
Nahisi huyu naye analeta ubishi usio wa lazima. Nafikiri st. Marian walimstahi. Hebu ndugu yangu hakiki vizuri; 42/50= 84, 32/50= 64, 38/50=76, 36/50= 72 . If you add all four subject marks the total is 148/200 or 74% which is below the minimal threshold of 75% of the school mark entry requirement. Mtoto wako alifaulu kwa viwango vya shule za kata na private zingine lakini kwa st marian ukweli umedhihiri hakufikia . Sasa wewe unacholalamika ni nini hasa? Au huamini ulichokiona? Tuwe wakweli naukweli unauma hasa wakuambiwa mwanao ana akili ndogo. Kubali tu yaishe
[table="width: 128"]
[tr]
[td="width: 64, align: Right"][/td]
[td="width: 64, align: Right"][/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"][/td]
[td][/td]
[/tr]
[/table]
 
Wanabodi,

Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio NECTA, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.

Wengi waliangalia hili kwa jicho la juu juu juu tuu bila kujiuliza wajinga halisi ni kina nani na long impact ya ukomoaji huu wa NECTA utalifikisha wapi taifa letu in a long run baada ya matokeo hayo kujenga matabaka ya wenye nacho na wasionacho!.

Kwa sio jua Wengi wa waliofaulu ni watoto wa wenye nacho ambao wana uwezo wa kuwalipia watoto wao shule bora, na wengi wa waliofeli ni watoto wa wa wasionacho hivyo Mama Ndalichako kupitia NECTA anawanyanganya hata hicho kidogo walichonacho, unategemea mini after a long time ?!.

I think it's time up for Mama, Dr. Joyce Ndalichako to go!, not withstanding madhaifu mengine yote wenye mfumo wetu wa elimu.

Pasco.

Uthibitisho ni huu

Hii nimeikuta mahali nikaona niilete na humu ili wale wote wasio niealewa angalau waanze kuelewa kuwa matokeo haya sio bure, iko namna!.

Pasco.
za kuambiwa ongeza na za kwako
 
thibitisha kama wamechakachachua.usiongee kimbea bila vigezo. watu wanaongea kiasi cha kutoa matokeo ya watoto wao lakini wamethibitisha ubishi na weakness walio nayo. ukweli watu hawakubali kushindwa . asiyekubali si mshindani
 
Mkuu Pasco kwa nini Dr Ndalicho peke yake aondoke??Kumbuka pale pameoza so we need ku overhall kila ili kiwe kipya.umekosea sana pale wanatakiwa wangoke kina Dr Jumanne Shukuru Kawambwa,Naibu waziri wake aliyekuwa mstari wa mbele kufunga shule za Private ati hazina viwango ilihali shule za serikali hazina hata matundu ya vyoo this is nonsens then baada ya hawa wawili wakitoka ndio mkurugenzi na wengineo waondoke.Only Dr Ndalicho kungoka ni kumuonea wote watoke tupate viongozi wengine na tatizo kubwa ni Serikali huenda na wakuwabana zaidi ni hawa Mawaziri kwa kuwa ni party of the Government.
 
Mwaka huu hakuna udanganyifu kwanini warudie? Usiwe na hasira za mzazi wa mtoto aliyepata zero. Hakuna uhakika kama mitihani iliyotolewa ni juu ya syllabus kwasababu wapo watoto waliopata first class. So waliofeli haikiwezi kuwa kigezo cha ugumu wa mtihani. Mimi nashawishika kuwa wale watotowaliopata daraja la kwanza ndio kigezo cha ukamilifu wa muhtasari wa masomo ya sekondari. Au mna maana baadhi ya shule zinafundisha oversyllabus. Angalia matokeo ya st. Francis
national examinations council of tanzania
csee 2012 examination results
s0248 marian girls secondary school
div-i = 42 div-ii = 36 div-iii = 8 div-iv = 2 fld = 0

national examinations council of tanzania
national examinations council of tanzania
csee 2012 examination results
s0298 feza girls' secondary school
div-i = 16 div-ii = 21 div-iii = 13 div-iv = 0 fld = 0
national examinations council of tanzania
csee 2012 examination results
s0189 feza boys' secondary school
div-i = 48 div-ii = 12 div-iii = 8 div-iv = 1 fld = 0

hiki ndo kipimo cha mjadala. Tusijadili kwa vigezo vya waliofeli. Kwasababu kufeli kwao kunatokana na sababu nyingi sana
je hawa wanasoma syllabus gani mjomba. We can not compromise the adequacy of secondary education.
 
Kwa kweli great thinkers tumeanza kupote hw does Dr. Ndalichako come in? Mtu ammemchora messi na zombi dr.ndalichako amwekee marks i dont see any place ya kumlaum ndalichako je maandizi ya form 4 yannafanywa
Na Neccta?;
ameingia hapa kwa sababu kuna ushahidi wa kutosha wao wametoa matokeo ya kugushi kwa sababu na malengo wanayo yajua wao.
kuna ushahidi wa mwalimu mkuu wa green acre nimeskia channel 10 akisema mitihani irejewe kusahihishwa lakini sio na necta kwani hao...hawafai na wana ajenda ya siri dhidi ya Kikwete
amesema anashangazwa wana funzi ambao hawakufanya mitihani baada ya kusimamishwa ama ugonjwa wamefaulu na kupewa matokeo!!! its shame...
ipo school moja ya kunduchi wanafunzi amefanya arts subject lakini amefaulu vizuri masomo ya science....hapa ndipo Ndalichako anaingia...wamefanya zengwe kumuangusha Rais..kwa ajenda wanayo jua na kwa maslahi ya nani...
tatizo lipo..kweli vijana hawapendi kusoma....wengi wanapenda starehe japo hawana pesa....kweli shule hazina vifaaa hazina walimu lakini hilo sio sababu......
ya watoto zaidi ya 200,000 kupata zero...watanzania sio mdebwedo kiasi hicho....sisi tulisoma ...na pia tulipata changa moto za kutokuwa na walimu na vifaaa...na wakati huo hakuna mambo ya computrers na internet...lakini tulifanya jitihad binafsi kufaulu..bila ya kutegemea....walimu...
lakini nchi hii sasa imeengia katika siasa chafu na mbaya hata katika mambo ya msingi ya uhai wa nchi na watu wake...
serikalai ianzie hapo....waunde tume kusahihisha mitihani upya ...ijulikane
 
Acha kuropoka wewe.
 
Back
Top Bottom