Uchaguzi 2020 Dr. Kalemani pumzika tu, Ukweli Jimbo la Chato hujafanya chochote

ila naweza kusema watanzania hawariziki,,imagine mwananchi wa chato nae analalamika hawajafanyiwa maendeleo jimboni kwao,,,,
 
Uzuri muamuzi Mkuu yupo na sidhani kama hujali maoni ya Watu;
 
SHIDA ZA WANACHATO AMESHINDWA KUZITATUA JOHN MAGUFULI ZAIDI YA MIAKA15 MNAMLAUMU KALEMANI KWA MIAKA5????? Chagueni upinzani tu Ccm haijawahi kua na wema miaka 59+ ya uhuru
kila zama na vipaumbele vyake.
Magufuli kwa kipindi chake alifanya mengi, sasa huyu Kalemani inakuwaje kasizi tu kiaina.
 
WanaChato nyamazeni huyo Kalemani kaitumikia TZ yote kwa ujumla, kasambaza umeme vijijini na sasa upo 80% Nchi nzima
Kama hamumtaki tuleteeni huku kwetu tu,lipie Fomu ya Ubunge
Jafo kalipiwa na Wamaasai kwa kufunguliwa Dispensary na kafika Kisarawe kakuta kalipiwa tena.
Mwacheni Kalemani arudi kwenye Nishati amalizie kusambaza umeme wake, Bei ya umeme imeshuka, kadhibiti wale wahujumu mitambo waliokuwa wakijizimia hovyo pale Ubungo
Kasimamia Stigler Godge hebu mpeni Ubunge
 
Ameleta fisi 30 kutoka serengeti,uwanja wa ndege za kimataifa bado ataleta mlima kilimanjaro huko mda si mrefu
 
Karibu mjumbe ila mwambie tumechoka kunywa maji ya visima tulitaka walau fedha za mfuko wa jimbo zingetumika kusambaza maji katika maeneo yenye shida kubwa ya maji hasa buzirayombo.
Mwambieni alietumia mabilioni kujenga uwanja wa ndege na kuleta fisi 30
 
Karibu mjumbe ila mwambie tumechoka kunywa maji ya visima tulitaka walau fedha za mfuko wa jimbo zingetumika kusambaza maji katika maeneo yenye shida kubwa ya maji hasa buzirayombo.
mkuu unaota ama?? fedha za mfuko wa jimbo Mil 40-60 uatasambaza maji gani?
 
haya maajabu ya dunia sasa chato katika wamu hii mkilia kule kantalamba si watabubujika machozi ya damu.
 
haya maajabu ya dunia sasa chato katika wamu hii mkilia kule kantalamba si watabubujika machozi ya damu.
WAPUMBAVU TUU KAMA WATAMLAUMH KALEMANI WA MIAKA MITANO NA KUACHA KUMLAUMU MAGUFULI ALIYEWAONGOZA ZAIDI YA MIAKA10
 
Jimbo la Chato huwa mbunge huwa achaguliwi kwa njia ya kidemokrasia kupitia kura halali za wananchi, bali mbunge anasimikwa kupitia sarakasi nyingi za kimazingaombwe.
 
Wewe umeshawahi kumiliki kibanda hata cha Room 1?je matumizi ya manunuzi ya umeme unayajua?kila mteja anayenunua umeme anakatwa asilimia ambazo zinaenda kuingia kwenye umeme wa Rea,umeme wote unaouona WANANCHI ndiyo wamewasambazia wanyonge wa vijijini, Serikali haijatoa hata Senti, na Rea haijaanzia awamu ya tano.
 
ila naweza kusema watanzania hawariziki,,imagine mwananchi wa chato nae analalamika hawajafanyiwa maendeleo jimboni kwao,,,,
Kama waliomba maji wakapelekewa uwanja wa ndege.

Wakaomba pembejeo za kilimo wakapelekewa Hifadhi ya wanyama pori.

Wakaomba shule Bora wakajengewa hospitali ya rufaa.

Wakaomba barabara wakapelekewa jengo la CRDB.

Unategemea hapa kero zao zitakuwa zimetatuliwa ?
 
Jimbo la Chato huwa mbunge huwa achaguliwi kwa njia ya kidemokrasia kupitia kura halali za wananchi, bali mbunge anasimikwa kupitia sarakasi nyingi za kimazingaombwe.
2015 Kalemani mwenyewe aliponea chupu chupu.
 
Chato hamuridhiki kila kitu mumepewa umeme maji uwanja mbuga barabara nzur hospital za kisasa kama ha kanda na mirad mingine kemkem bado tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…